Nani amefungwa atakuwa Paulo au Francis. Angalikuwa Abuu sidhani kama ungalimteteaTunaposema Waisrael ni makatili wanauwa akina mama na Watoto muwe mnatuelewa
Sasa unamfungaje miaka 20 Jela mwanamama maskini aliyekutwa na Nyama ya Swala?
Hao Swala mnataka waliwe na nani!?
Bure kabisa!