UWT kumsaidia kukata Rufaa Maria aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kukutwa na nyama ya swala

Tunaposema Waisrael ni makatili wanauwa akina mama na Watoto muwe mnatuelewa

Sasa unamfungaje miaka 20 Jela mwanamama maskini aliyekutwa na Nyama ya Swala?

Hao Swala mnataka waliwe na nani!?

Bure kabisa!
Nani amefungwa atakuwa Paulo au Francis. Angalikuwa Abuu sidhani kama ungalimtetea
 
Tunaposema Waisrael ni makatili wanauwa akina mama na Watoto muwe mnatuelewa

Sasa unamfungaje miaka 20 Jela mwanamama maskini aliyekutwa na Nyama ya Swala?

Hao Swala mnataka waliwe na nani!?

Bure kabisa!
Bure wewe na ccm yako...ndio mmetunga sheria hizi. John uwe unafikiri...... CCM ni maiti zinazotembea
 
Tunaposema Waisrael ni makatili wanauwa akina mama na Watoto muwe mnatuelewa

Sasa unamfungaje miaka 20 Jela mwanamama maskini aliyekutwa na Nyama ya Swala?

Hao Swala mnataka waliwe na nani!?

Bure kabisa!
Kwa hakika ni unyama!
Tupeni jina la Jaji huyo.
 
Siku nakutana na huyo aliyetoa hukumu nitampa MBAO wa uso hataamini kilichotokea, binadamu wa kawaida unapataje usingizi kweli kwa hukumu kama Ile, masking Yule anatafuta ridhiki ya watoto wake angalau waende shule, inasikitisha Sana.
 
Tunaposema Waisrael ni makatili wanauwa akina mama na Watoto muwe mnatuelewa

Sasa unamfungaje miaka 20 Jela mwanamama maskini aliyekutwa na Nyama ya Swala?

Hao Swala mnataka waliwe na nani!?

Bure kabisa!

Ndio sheria zilizotungw, moja ta sheria kali nchini ni sheria za wanyama pori. Ukijaa kwenye 18 umeenda regardless hali yako

Now kwa ishu ya huyu mama hakuwa na mawakili, na huyo fute atafutwe asap
 
Mapimbi kwel haya ukiwa nazo wana kuita chemba hu plea bargaine
 
Tunaposema Waisrael ni makatili wanauwa akina mama na Watoto muwe mnatuelewa

Sasa unamfungaje miaka 20 Jela mwanamama maskini aliyekutwa na Nyama ya Swala?

Hao Swala mnataka waliwe na nani!?

Bure kabisa!
Nyama ya swala tamu sana labda ndio sababu 😅😅🙏
Ni bora angekuwa fisi adi 😱🙄!
 
Tunaposema Waisrael ni makatili wanauwa akina mama na Watoto muwe mnatuelewa

Sasa unamfungaje miaka 20 Jela mwanamama maskini aliyekutwa na Nyama ya Swala?

Hao Swala mnataka waliwe na nani!?

Bure kabisa!
Akili zimeanza kuwakaa...
Endeleeni kusifu na kuabudu.
 
Asilimia kubwa huyo mama alichorewa mchoro.

Ngoja wapo watu wa Mungu watakata rufaa.
Kigwangalla aligonga twiga mbugani lakini akaletwa na ndege ya Serikali Muhimbili tena akapokelewa na Shujaa Magufuli

Waziri wa Fedha aligonga Punda kule Migoli Iringa huko huko lakini anadunda hadi leo

Huyo mama Maskini aachiliwe
 
Siku nakutana na huyo aliyetoa hukumu nitampa MBAO wa uso hataamini kilichotokea, binadamu wa kawaida unapataje usingizi kweli kwa hukumu kama Ile, masking Yule anatafuta ridhiki ya watoto wake angalau waende shule, inasikitisha Sana.
Ngoja tuone.
 
Kigwangalla aligonga twiga mbugani lakini akaletwa na ndege ya Serikali Muhimbili tena akapokelewa na Shujaa Magufuli

Waziri wa Fedha aligonga Punda kule Migoli Iringa huko huko lakini anadunda hadi leo

Huyo mama Maskini aachiliwe
Kwakweli Mkuu wa Nchi aingilie kati !!
Tunakuomba Mheshimiwa Rais 🙏🙏🙏
 
Mi naonaga matrafiki walivyo makatili humu barabarani Bwashee 😂
Tangu nipate akili sijawahi kusikia wala pesa za miradi wamefungwa angalau miaka 10. Ila issue za kipumbavu mahakimu wanawafunga sana Watanzania wenzetu. Ni ukatili na unyama. Mungu alitupuuza sana watu weusi.
 
Nadhani tumeamua kujipuuza wenyewe ! 🙄 !
 
Hakimu kama huyo, mpaka sasa hakupaswa kuendelea kuwa hai [emoji16][emoji16]
 
Fisadi aliyefanya ubadhirifu wa mamilion ya hela anafungwa mwezi mmoja na faini ya laki mbili ila aliyeshikwa na mkaa, anafungwa miaka 30.
Hii nchi ni ya ajabu sana. Huyo dada, nyama yenye thamani ya laki 9 ndiyo afungwe miaka 22? Hii siyo haki
Kada ya Sheria ni kada inayohitaji watu ambao STRICTLY NI WAADILIFU KAMA ALIVYOKUWA YESU au Mtume Mohammed
 
Wanaonewa Mahakamani hasa kanda hiyo ya Iringa ni wengi sana ni vile taarifa za hukumu zinapatikana chache kama hivyo huyo Dada kasikitisha sana kwa hukumu yake sijui huyo Pilato anajisikiaje huko aliko kwa manung'ununiko ya watu namna hii.
 
Back
Top Bottom