Nani amefungwa atakuwa Paulo au Francis. Angalikuwa Abuu sidhani kama ungalimteteaTunaposema Waisrael ni makatili wanauwa akina mama na Watoto muwe mnatuelewa
Sasa unamfungaje miaka 20 Jela mwanamama maskini aliyekutwa na Nyama ya Swala?
Hao Swala mnataka waliwe na nani!?
Bure kabisa!
Bure wewe na ccm yako...ndio mmetunga sheria hizi. John uwe unafikiri...... CCM ni maiti zinazotembeaTunaposema Waisrael ni makatili wanauwa akina mama na Watoto muwe mnatuelewa
Sasa unamfungaje miaka 20 Jela mwanamama maskini aliyekutwa na Nyama ya Swala?
Hao Swala mnataka waliwe na nani!?
Bure kabisa!
Kwa hakika ni unyama!Tunaposema Waisrael ni makatili wanauwa akina mama na Watoto muwe mnatuelewa
Sasa unamfungaje miaka 20 Jela mwanamama maskini aliyekutwa na Nyama ya Swala?
Hao Swala mnataka waliwe na nani!?
Bure kabisa!
Tunaposema Waisrael ni makatili wanauwa akina mama na Watoto muwe mnatuelewa
Sasa unamfungaje miaka 20 Jela mwanamama maskini aliyekutwa na Nyama ya Swala?
Hao Swala mnataka waliwe na nani!?
Bure kabisa!
Wewe unadhani Uislam ni majinaNani amefungwa atakuwa Paulo au Francis. Angalikuwa Abuu sidhani kama ungalimtetea
Nyama ya swala tamu sana labda ndio sababu π π πTunaposema Waisrael ni makatili wanauwa akina mama na Watoto muwe mnatuelewa
Sasa unamfungaje miaka 20 Jela mwanamama maskini aliyekutwa na Nyama ya Swala?
Hao Swala mnataka waliwe na nani!?
Bure kabisa!
Akili zimeanza kuwakaa...Tunaposema Waisrael ni makatili wanauwa akina mama na Watoto muwe mnatuelewa
Sasa unamfungaje miaka 20 Jela mwanamama maskini aliyekutwa na Nyama ya Swala?
Hao Swala mnataka waliwe na nani!?
Bure kabisa!
Kigwangalla aligonga twiga mbugani lakini akaletwa na ndege ya Serikali Muhimbili tena akapokelewa na Shujaa MagufuliAsilimia kubwa huyo mama alichorewa mchoro.
Ngoja wapo watu wa Mungu watakata rufaa.
Ngoja tuone.Siku nakutana na huyo aliyetoa hukumu nitampa MBAO wa uso hataamini kilichotokea, binadamu wa kawaida unapataje usingizi kweli kwa hukumu kama Ile, masking Yule anatafuta ridhiki ya watoto wake angalau waende shule, inasikitisha Sana.
Mi naonaga matrafiki walivyo makatili humu barabarani Bwashee πMwafrika ni katili kama ibilisi.
The same to Arabians
Kwakweli Mkuu wa Nchi aingilie kati !!Kigwangalla aligonga twiga mbugani lakini akaletwa na ndege ya Serikali Muhimbili tena akapokelewa na Shujaa Magufuli
Waziri wa Fedha aligonga Punda kule Migoli Iringa huko huko lakini anadunda hadi leo
Huyo mama Maskini aachiliwe
Tangu nipate akili sijawahi kusikia wala pesa za miradi wamefungwa angalau miaka 10. Ila issue za kipumbavu mahakimu wanawafunga sana Watanzania wenzetu. Ni ukatili na unyama. Mungu alitupuuza sana watu weusi.Mi naonaga matrafiki walivyo makatili humu barabarani Bwashee π
Nadhani tumeamua kujipuuza wenyewe ! π !Tangu nipate akili sijawahi kusikia wala pesa za miradi wamefungwa angalau miaka 10. Ila issue za kipumbavu mahakimu wanawafunga sana Watanzania wenzetu. Ni ukatili na unyama. Mungu alitupuuza sana watu weusi.
Kada ya Sheria ni kada inayohitaji watu ambao STRICTLY NI WAADILIFU KAMA ALIVYOKUWA YESU au Mtume MohammedFisadi aliyefanya ubadhirifu wa mamilion ya hela anafungwa mwezi mmoja na faini ya laki mbili ila aliyeshikwa na mkaa, anafungwa miaka 30.
Hii nchi ni ya ajabu sana. Huyo dada, nyama yenye thamani ya laki 9 ndiyo afungwe miaka 22? Hii siyo haki