Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Tatizo linakuja pale unapotaka kuwapangia watu wazima nini cha kufanya, kwa sababu tu ya mtazamo wako.
Sasa si utulie kwenye thread ambazo haina usimba na uyanga mbona zipo kibao au we zianzishe .Mwenyewe mtu mzima, huenda nikakuzidi pia umri.
Hapa siwapangii cha kufanya, kaa ujue hilo kijana. Mnatapaswa kubadilika, na ndiyomana soka letu haliendelei all the times yanga simba, manara Mo, n.k. badilikeni
Atakuwa shabiki wa ihefu ,imeshuka daraja anaanza kuleta stress humuWw utakua shabiki wa Ruvu [emoji12]
Soka la nyumbani litakuaje ikiwa tunajadili ya wenzetu kila.siku. Ni wakati sasa tuzungumzie na kusifia ya.kwetu. wao wanongea ya kwetu..?Habarini Wadau!
Hili jukwaa limevamiwa,,,uyanga na usimba umetawala na kupoteza ladha ya jukwaa la sport,,,kila siku yanga na simba, mara oh manara, gsm, mo n.k.
Ukiingia tu jukwa la (Sport) lazima ukutane na matapishi ya UYA na USI, mwanzo mwisho,, ni nadra muno kukutana na International sports news and sports news updates.
Badilikeni.
Soka la nyumbani litakuaje ikiwa tunajadili ya wenzetu kila.siku. Ni wakati sasa tuzungumzie na kusifia ya.kwetu. wao wanongea ya kwetu..?
Kuna club ambazo zipo kukamilisha tu ratiba simba inasababishaje club zingine kuzorota au unataka izichezee mechi zao uwanjani.? Unafikiriaje mkuu.? Simba imepush soka la bongo kimataifa au hujaona.??Tangu mumeanza kujadili simba na yanga nini haswaa kimeendelea!!!! Simba na Yanga ndiyo sababu ya kuzorota na kuuwa club zingine na zisiendelee.
[emoji2960][emoji2960][emoji2960]Na mimi nimeskia kule west kuna jamaa anaitwa kakifiro na jpili atacheza sijui itakuwaje.
Wewe shabikia timu yako, na sisi tuache tushabikie timu zetu. Hakuna sababu ya kupangiana.Tangu mumeanza kujadili simba na yanga nini haswaa kimeendelea!!!! Simba na Yanga ndiyo sababu ya kuzorota na kuuwa club zingine na zisiendelee.
Utakuta yanga huyo.. [emoji23][emoji23][emoji23] wanataka sijui nini.? Tukishabikia vya nyumbani kumhe sumu daahh.Wewe shabikia timu yako, na sisi tuache tushabikie timu zetu. Hakuna sababu ya kupangiana.