Uyanga na Usimba umepoteza ladha ya hili jukwaa

Uyanga na Usimba umepoteza ladha ya hili jukwaa

Sol de Mayo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
6,515
Reaction score
6,230
Habarini Wadau!

Hili jukwaa limevamiwa, uyanga na usimba umetawala na kupoteza ladha ya jukwaa la sport. Kila siku yanga na simba, mara oh Manara, gsm, mo n.k.

Ukiingia tu jukwaa la (Sport) lazima ukutane na matapishi ya UYA na USI, mwanzo mwisho, ni nadra muno kukutana na International sports news and sports news updates.

Badilikeni.
 
Tatizo linakuja pale unapotaka kuwapangia watu wazima nini cha kufanya, kwa sababu tu ya mtazamo wako.

Mwenyewe mtu mzima, huenda nikakuzidi pia umri.

Hapa siwapangii cha kufanya, kaa ujue hilo kijana. Mnatapaswa kubadilika, na ndiyomana soka letu haliendelei all the times yanga simba, manara Mo, n.k. badilikeni
 
Tatizo ni Manara, kawachanganya sana Makolokolo! Mpaka wakikubali kuachika ndo jukwaa litatulia.
 
Mwenyewe mtu mzima, huenda nikakuzidi pia umri.

Hapa siwapangii cha kufanya, kaa ujue hilo kijana. Mnatapaswa kubadilika, na ndiyomana soka letu haliendelei all the times yanga simba, manara Mo, n.k. badilikeni
Sasa si utulie kwenye thread ambazo haina usimba na uyanga mbona zipo kibao au we zianzishe .

Usiwapangie watu cha kuandika mtu anapost au kujadili anachokipenda
 
tatizo ni Wale wa Chuck Norris kule kariakoo hawataki kuambiwa waspme memkwa
 
Rais wa nchi anaenda gemu za Simba na Yanga tu,Namungo na Coastal union hawaendagi.hata uzi wako unahusu Simba na Yanga.hii inahakisi nguvu ya hizi timu.
 
Habarini Wadau!

Hili jukwaa limevamiwa,,,uyanga na usimba umetawala na kupoteza ladha ya jukwaa la sport,,,kila siku yanga na simba, mara oh manara, gsm, mo n.k.

Ukiingia tu jukwa la (Sport) lazima ukutane na matapishi ya UYA na USI, mwanzo mwisho,, ni nadra muno kukutana na International sports news and sports news updates.

Badilikeni.
Soka la nyumbani litakuaje ikiwa tunajadili ya wenzetu kila.siku. Ni wakati sasa tuzungumzie na kusifia ya.kwetu. wao wanongea ya kwetu..?
 
Na mimi nimeskia kule west kuna jamaa anaitwa kakifiro na jpili atacheza sijui itakuwaje.
 
Soka la nyumbani litakuaje ikiwa tunajadili ya wenzetu kila.siku. Ni wakati sasa tuzungumzie na kusifia ya.kwetu. wao wanongea ya kwetu..?

Tangu mumeanza kujadili simba na yanga nini haswaa kimeendelea!!!! Simba na Yanga ndiyo sababu ya kuzorota na kuuwa club zingine na zisiendelee.
 
Tangu mumeanza kujadili simba na yanga nini haswaa kimeendelea!!!! Simba na Yanga ndiyo sababu ya kuzorota na kuuwa club zingine na zisiendelee.
Kuna club ambazo zipo kukamilisha tu ratiba simba inasababishaje club zingine kuzorota au unataka izichezee mechi zao uwanjani.? Unafikiriaje mkuu.? Simba imepush soka la bongo kimataifa au hujaona.??
 
Wewe shabikia timu yako, na sisi tuache tushabikie timu zetu. Hakuna sababu ya kupangiana.
Utakuta yanga huyo.. [emoji23][emoji23][emoji23] wanataka sijui nini.? Tukishabikia vya nyumbani kumhe sumu daahh.
 
Naomba utuache na timu zetu, huu ndo urithi pekee uliobaki kwenye taifa letu

Maisha yanatupiga kila upande kisiasa na kiuchumi, ila simba na Yanga ndo vitu vilivyobaki kwa ajili ya kutusahaulisha matatizo mengine tuliyonayo
 
Back
Top Bottom