Lazima michakato iendelee na pesa lazima ipatikane , huyo alikua anashangilia konyagi ya 3500 , sijui atakua p square au universal, halafu analishwa na supu ya kuku wagumu kidogo wa Malawi wale wa nyama anaambiwa ni wakienyeji basi anaona maisha mazuri asijui konyagi inazalishwa mbeya , smart gin inazalishwa mbeya na kuuzwa nchi nzimaMafundi wako hapo mtaa wa pili tu panaitwa gombe.
Au sio injoyini kula mataputapu ..tajiri anamtengenezea sumu maskin na anamlipa ili aendelee kua tajiri zaidiKila mtu apambane na hali yake
Pesa ngumu mtaan
Kwa umelazimishwa kunywaAu sio injoyini kula mataputapu ..tajiri anamtengenezea sumu maskin na anamlipa ili aendelee kua tajiri zaidi
Waulize wanaokunywa 😂 Tumsifu Yesu Kristu.Kwa umelazimishwa kunywa
Ndiyo nmekuuliza weweWaulize wanaokunywa 😂 Tumsifu Yesu Kristu.