mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 909
- 1,425
Tuuze na kununua hapa, sema unataka nini na bajeti yako ikoje pia wewe unayeuza toa taarifa za unachouza kwa ushahidi na useme wewe ni dalali au mmiliki wa unachouzwa. Tuuze kuanzia nafaka, mashamba, viwaja, vifaa mbalimbali, magri, nk.
PIA kama unataka kujua mahali/duka utakapopata kitu fulani uliza hapa.
Tutumie hii network kutengeneza pesa na kufaidika na fursa mbalimbali.
NB: Usikubali kulipa hadi ujiridhishe na unachokitaka.
PIA kama unataka kujua mahali/duka utakapopata kitu fulani uliza hapa.
Tutumie hii network kutengeneza pesa na kufaidika na fursa mbalimbali.
NB: Usikubali kulipa hadi ujiridhishe na unachokitaka.