MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Saa 9:15 alasiri..kama sijakoseaMechi ya ngapi mkuu
9 mkuuSaa ngapi mechi
UuMechi ya ngapi mkuu
Wanasema unaweza kuruka vikwazo vingi lkn ni mara chache sana unaweza kuruka vikwazo vyote.Michuano ya Sportpesa upande wa Simba imewachukua muda mwingi bila kutolewa sababu wamepitia njia nyepesi ukilinganisha na Singida utd lkn hatimaye leo wamekutana na kisiki.
Uzalendo kwanza lkn haibadilishi the fact kwamba Kagere na Tuyiseng... Leo lazima watupie at least kila mtu goli moja moja.
Kila la kheri vijana,Lkn kumbukeni uingereza sio sehemu ya kila mtu.
AiseeSimba Leo hawatoki na kama wakishinda, Leo nawafuturisha mashabiki wa simba
Ahha hahahNaona wa kimataifa wamehamishia mahaba kwenye mwendo kasi... hapa wakielekea Nairobi
View attachment 799253
Naona wa kimataifa wamehamishia mahaba kwenye mwendo kasi... hapa wakielekea Nairobi
View attachment 799253
KabisaHii gemu simba wakicheza kama walivyocheza mechi zilizopita,lazima walale
mashabiki wa simba wanaiona timu yao kama Madrid.Simba Leo hawatoki na kama wakishinda, Leo nawafuturisha mashabiki wa simba