Uzalendo kwanza ila naona giza nene kwa Simba dhidi ya Gor

Uzalendo kwanza ila naona giza nene kwa Simba dhidi ya Gor

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Wanasema unaweza kuruka vikwazo vingi lkn ni mara chache sana unaweza kuruka vikwazo vyote.Michuano ya Sportpesa upande wa Simba imewachukua muda mwingi bila kutolewa sababu wamepitia njia nyepesi ukilinganisha na Singida utd lkn hatimaye leo wamekutana na kisiki.
Uzalendo kwanza lkn haibadilishi the fact kwamba Kagere na Tuyiseng... Leo lazima watupie at least kila mtu goli moja moja.
Kila la kheri vijana,Uingereza sio sehemu ya kila mtu.
 
Wanasema unaweza kuruka vikwazo vingi lkn ni mara chache sana unaweza kuruka vikwazo vyote.Michuano ya Sportpesa upande wa Simba imewachukua muda mwingi bila kutolewa sababu wamepitia njia nyepesi ukilinganisha na Singida utd lkn hatimaye leo wamekutana na kisiki.
Uzalendo kwanza lkn haibadilishi the fact kwamba Kagere na Tuyiseng... Leo lazima watupie at least kila mtu goli moja moja.
Kila la kheri vijana,Lkn kumbukeni uingereza sio sehemu ya kila mtu.

Naona wa kimataifa wamehamishia mahaba kwenye mwendo kasi... hapa wakielekea Nairobi
IMG-20180610-WA0008.jpg
 
Kwa kweli hii mèchi ni ngumu sana kwetu Simba, wale jamaa sidhani kama watatuacha, ila bado angalau nina imani na Masoud Djuma anaweza kuja kivingine.
 
Kiukweli mimi ni shabiki wa simba kindakindaki ila game ya leo ni ngumu sana kwa upande wetu, gor mahia wapo vizuri sana kipindi hiki, washambuliaji wao ni very aggressive, hivyo leo nafasi kubwa ya ushindi naipa gor mahia.
 
Simba Leo hawatoki na kama wakishinda, Leo nawafuturisha mashabiki wa simba
 
Back
Top Bottom