Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Watanzania wa leo kwa asilimia 99%, ni wezi tu, uzalendo na utumishi kwa ajili ya umma wa watanzania haupo tena, kwa leo hii usione mtu anapigia kelele mwenzake au kiongozi fulani ni mwizi ukazani huyo ni mzalendo, sivyo kabisa, huyo anapiga kelele kwa kukosa uteuzi ili yeye yale ya wizi akafanye yeye badala ya yule mteuliwa, hivyo hivyo kwa upinzani na kote Tanzania, uchungu kwa taifa na kwa watanzania haupo tena, kilichobakia ni kila mteuliwa na familia yake na genge lake kwanza.
#Ujumbe huu wa babu yenu!
#Ujumbe huu wa babu yenu!