Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Don't blame ccm, hali hii tunaiona hata huko kwenye vyama vingine, uzalendo, utaifa, kama wa mwalimu haupo tena, ni vita vya kupata mali kwa kuiba mali za umma, ndicho kilichopo!,CCM imeua taasisi watu
Uko sahihi siku hizi maana ya uongozi ni kupata nafasi ya upigaji tu. Rais wa mchongo alithibitisha hilo alipotamka, bila aibu, eti kila kiongozi ale kwa urefu wa kamba yakeWatanzania wa leo kwa asilimia 99%,ni wezi tu, uzalendo na utumishi kwa ajili ya umma wa watanzania haupo tena, kwa leo hii usione mtu anapigia kelele mwenzake au kiongozi fulani ni mwizi ukazani huyo ni mzalendo, sivyo kabisa, huyo anapiga kelele kwa kukosa uteuzi ili yeye yale ya wizi akafanye yeye badala ya yule mteuliwa, hivyo hivyo kwa upinzani na kote Tanzania, uchungu kwa taifa na kwa watanzania haupo tena, kilichobakia ni kila mteuliwa na familia yake na genge lake kwanza /
#Ujumbe huu wa babu yenu!
CCM ndio imejenga mfumo huoDon't blame ccm, hali hii tunaiona hata huko kwenye vyama vingine, uzalendo, utaifa, kama wa mwalimu haupo tena, ni vita vya kupata mali kwa kuiba mali za umma, ndicho kilichopo!,
Hizi ni fikra mbaya kwa mustakabali wa jamii na taifa kwa ujumla.Watanzania wa leo kwa asilimia 99%, ni wezi tu, uzalendo na utumishi kwa ajili ya umma wa watanzania haupo tena, kwa leo hii usione mtu anapigia kelele mwenzake au kiongozi fulani ni mwizi ukazani huyo ni mzalendo, sivyo kabisa, huyo anapiga kelele kwa kukosa uteuzi ili yeye yale ya wizi akafanye yeye badala ya yule mteuliwa, hivyo hivyo kwa upinzani na kote Tanzania, uchungu kwa taifa na kwa watanzania haupo tena, kilichobakia ni kila mteuliwa na familia yake na genge lake kwanza.
#Ujumbe huu wa babu yenu!