Aikasia James
Member
- Jun 21, 2024
- 5
- 1
Taasisi ya elimu ingeandaa masomo ya kizalendo kwa watoto sio ti stadi za kazi.Watoto wanabidi wafundishwe uzuri wa nchi yao na pia kupenda nchi yao maana ndio urithi wao ni kazi yao kuilinda. Jeshini zile siku za mwanzoni huwa wanafundishwa uzalendo nyimbo za uzalendo.
Lakini kama mashuleni hata kwa mwezi mara mbili wawe na siku ya kufundishwa na watu wa kidiplomasia juu ya uzuri wa nchi yao. Na kwa kufanya hivi inatusaidia kuwafanya watoto waisamini nchi yao.Qakielezwa kuwa uzalendo ni kuzuia rushwa, wizina vitu vinginevyo visivyo haki

Upvote
3