Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Penda nchi yako! Jivunie nchi yako! Thamini nchi yako! Tangaza nchi yako! Kuwa mzalendo wa nchi yako!
Kauli kama hizi si ngeni midomoni mwa wanasiasa na viongozi barani Afrika wanaokula kwa mrija, huku wakiwahubiria uzalendo raia wao ambao wengi ni maskini choka mbaya pangu pakavu tia mchuzi.
Mwanasiasa na kiongozi ana kuhubiria wewe mwananchi wa kawaida uwe mzalendo, Wakati Yeye mwenyewe hana hata chembe ya uzalendo!!
Mwanasiasa na kiongozi huyohuyo, Yeye ndio wa kwanza kuhujumu uchumi wa nchi kwa ufisadi, ubadhirifu wa fedha za serikali, rushwa, matumizi mabaya ya kodi yako. Halafu anakuja kukwambia wewe mwananchi wa kawaida uwe mzalendo!! Damn shit!!!
Huyo mwanasiasa angekuwa mzalendo wa kweli, asinge thubutu hata kidogo kuhujumu jasho la kodi yako unayolipa serikalini.
Wanasiasa wengi na viongozi barani Afrika ni wachumia matumbo, wanaoishi kwa falsafa ya chukua chako mapema, wengine watajijua wenyewe.
Unakutana na vijana hawana kazi au wana kazi za kuunga unga, hawana biashara za kueleweka, wananuka shida na umaskini, familia zao za kikapuku. Halafu wame aminishwa wawe wazalendo na waipende nchi yao! Poor you!!!
Huyo kiongozi anaye kuambia, penda nchi yako! Thamini vya kwako! Yeye akiumwa hata kidogo atakwea pipa 🛫 mapema kwenda kupata huduma bora kwenye hospitali kubwa zenye hadhi ya kimataifa.
Wewe kapuku unayejifanya mzalendo wa nchi yako ukiumwa utapelekwa zahanati ukifika huko utaambiwa hakuna vifaa tiba, hakuna dawa. Mwishowe unajifia na ukapuku wako wa kizalendo. Poor you!!
Viongozi na wanasiasa wa Afrika wangekuwa wazalendo kweli na nchi zao, Bara la Afrika lingeshapiga hatua za kimaendeleo kitambo sana.
Weka hili akilini na uwaambie hadi kizazi chako...👇
Hakuna uzalendo kwenye umaskini, There is no patriotism in poverty.
Acha kujifanya mzalendo wakati unateseka. Usi danganywe uwe mzalendo kwenye umaskini wakati huyo anayekwambia uwe mzalendo yeye anakula kuku kwa mrija. Wewe una sogeza siku ziende ujifie tu na ufukara wako.
Wewe kijana wa Afrika, umemaliza masomo huna kazi, huna kipato chochote. Acha kukaa kiduwanzi hapo nchini kwako kwa kigezo cha uzalendo. Tafuta pasipoti ya kusafiria, fanya research, tafuta fursa mambele, Kwea pipa 🛫 tembeaaaaa!!!!
Acha kulia lia kimama, na kusikiliza propaganda uchwara za uzalendo wa nchi. Jali future yako na maisha yako ya kizazi chako.
Things are not working for you in Africa, Geraaaa out!!! Moveeee!! Ondokaaa!!
Wewe sio wa kuishi sehemu moja kama mti... 🌲
Find the right environment better for your life.
Nationality is a fictional identity.
Patriotism is an illusion.
I'm out.