Uzalendo: Nimechangia Simba 700, 000 share risiti ya mchango

Uzalendo: Nimechangia Simba 700, 000 share risiti ya mchango

Mashabiki wengi wa hizi timu kubwa reasoning Yao ipo chini mnoo, ndiomaana ujinga Kama huu unafanyika, sio mapenzi kuchangisha vitu Kama hivii ni upumbavu tuu
Tuwajibike pamoja mkuu
 
Mashabiki wa Yanga hata kufanya promotion ya mechi yao ni US ALGER hawajui nilikuwa Kariakoo mida ya saa 7 eti wanawasema Simba SC tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana mkuu...tunajua tushatoboa tyr
 
Msenge na mnafiki mkubwa mmoja wewe ..huna hata jero ya kuichangia simba mbwa wewe. Ficha ujinga wako na ufedhuli wako
 
Wakuu Baada ya kuona makolo wanalia Lia kuwa Kuna muamko mdogo wa michango kutoka mkwa makolo wavunja viti .....

Kulingana na kupenda soka nimeona nichangie kiasi kidogo Cha laki Saba 700,000 Kwa makolo Ili kuwapa comfort

NB: Je umechangia makolo Tsh? Share muamala wako tuone

Cc : Kalpana View attachment 3203505
Fedha za viingilio Huwa wanapeleka wapi Hadi waombe kuchangiwa
 
Mimi mwenyewe hapa nimechangia milioni moja cash! Muda si mrefu nitaweka muamala wangu humu jukwaani ili kila mtu auone.
 
Back
Top Bottom