ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Hata kama mimi ni Mwananchi! Lakini bado ni Mtanzania.Mshaanza kutafuta sababu baada ya kushiba vumbi juzi
Walichobakiza makolo ni kumshangilia Mpole tu..!! Maana kwingine washapigwaKila ukionekana unamshabikia Fiston kwenye mbio za kiatu unaambiwa wewe huyo Fiston si mzawa, sie tunataka Mpole achukue.
Kaugonjwa hako kamekwenda hadi kwa waamuzi ambao mara kibao wamekua wakionyesha wazi kutopenda Fiston ashinde.
Mara nyingi baada ya Fiston kutikisa nyavu wamekua ama wakisema ni offsideama watasema kuna faul mmefanyiwa Yanga hivyo ni Faul ipigwe.
Pia kingine wachezaji wengine timu pinzani wanamuona Fiston kuwa ni hatari sana.
Hivyo kupelekea kutompa mwanya wa kufanya lolote wakimkaba watatu au wanne kitu ambacho kwa George mpole hakipo.
Acheni siasa, Mpole Yuko vizuri, namba hazidanganyi.Kila ukionekana unamshabikia Fiston kwenye mbio za kiatu unaambiwa wewe huyo Fiston si mzawa, sie tunataka Mpole achukue.
Kaugonjwa hako kamekwenda hadi kwa waamuzi ambao mara kibao wamekua wakionyesha wazi kutopenda Fiston ashinde.
Mara nyingi baada ya Fiston kutikisa nyavu wamekua ama wakisema ni offsideama watasema kuna faul mmefanyiwa Yanga hivyo ni Faul ipigwe.
Pia kingine wachezaji wengine timu pinzani wanamuona Fiston kuwa ni hatari sana.
Hivyo kupelekea kutompa mwanya wa kufanya lolote wakimkaba watatu au wanne kitu ambacho kwa George mpole hakipo.
[emoji23][emoji1787]
Na nyie baada ya mchizi wenu kushindwa kufunga mlichobakiza ni kulaumu mashabiki wa simba tuWalichobakiza makolo ni kumshangilia Mpole tu..!! Maana kwingine washapigwa
Kuna watu mmejaliwa vipaji aisee. Goli la Mayele limekataliwa makusudi na mshika kibendela.Kila ukionekana unamshabikia Fiston kwenye mbio za kiatu unaambiwa wewe huyo Fiston si mzawa, sie tunataka Mpole achukue.
Kaugonjwa hako kamekwenda hadi kwa waamuzi ambao mara kibao wamekua wakionyesha wazi kutopenda Fiston ashinde.
Mara nyingi baada ya Fiston kutikisa nyavu wamekua ama wakisema ni offsideama watasema kuna faul mmefanyiwa Yanga hivyo ni Faul ipigwe.
Pia kingine wachezaji wengine timu pinzani wanamuona Fiston kuwa ni hatari sana.
Hivyo kupelekea kutompa mwanya wa kufanya lolote wakimkaba watatu au wanne kitu ambacho kwa George mpole hakipo.
Hahahaa wameshiba vumbi la juzi, chezea kubugia vumbi la eapoti mpaka kidimbwi.Mshaanza kutafuta sababu baada ya kushiba vumbi juzi
Kwahiyo tukusaidieje?Kila ukionekana unamshabikia Fiston kwenye mbio za kiatu unaambiwa wewe huyo Fiston si mzawa, sie tunataka Mpole achukue.
Kaugonjwa hako kamekwenda hadi kwa waamuzi ambao mara kibao wamekua wakionyesha wazi kutopenda Fiston ashinde.
Mara nyingi baada ya Fiston kutikisa nyavu wamekua ama wakisema ni offsideama watasema kuna faul mmefanyiwa Yanga hivyo ni Faul ipigwe.
Pia kingine wachezaji wengine timu pinzani wanamuona Fiston kuwa ni hatari sana.
Hivyo kupelekea kutompa mwanya wa kufanya lolote wakimkaba watatu au wanne kitu ambacho kwa George mpole hakipo.
Mwananchi tetema...Kila ukionekana unamshabikia Fiston kwenye mbio za kiatu unaambiwa wewe huyo Fiston si mzawa, sie tunataka Mpole achukue.