ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Kila ukionekana unamshabikia Fiston kwenye mbio za kiatu unaambiwa wewe huyo Fiston si mzawa, sie tunataka Mpole achukue.
Kaugonjwa hako kamekwenda hadi kwa waamuzi ambao mara kibao wamekua wakionyesha wazi kutopenda Fiston ashinde.
Mara nyingi baada ya Fiston kutikisa nyavu wamekua ama wakisema ni offsideama watasema kuna faul mmefanyiwa Yanga hivyo ni Faul ipigwe.
Pia kingine wachezaji wengine timu pinzani wanamuona Fiston kuwa ni hatari sana.
Hivyo kupelekea kutompa mwanya wa kufanya lolote wakimkaba watatu au wanne kitu ambacho kwa George mpole hakipo.