Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhahahahhAkatetemee misitu ya Congo mbele ya M23
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] pumbqfu
Goli la leo ilikuwa nzuriKwahiyo hutaki hata kumpongeza George kwa namna alivyotumia utulivu mkubwa kufunga goli lake la leo?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Usikute msimu wa 2009/2010 Timu zilikuwa 10 tu😁😁 Sasa tuna Timu 16 nani kidume kama si Yanga..?Wale waliokuwa wanasema hakuna mshambuliaji kama Mayele Tz mko wapi?
Halafu kumaliza msimu bila kufungwa sio ajabu Tz, Azam washafanya 2013/2014 na Simba washafanya 2009/2010
Kwa hiyo unalalamika mabeki kumkaba Mayele na kumuachia George Mpole?Pia kingine wachezaji wengine timu pinzani wanamuona Fiston kuwa ni hatari sana.
Hivyo kupelekea kutompa mwanya wa kufanya lolote wakimkaba watatu au wanne kitu ambacho kwa George mpole hakipo.
Kila ukionekana unamshabikia Fiston kwenye mbio za kiatu unaambiwa wewe huyo Fiston si mzawa, sie tunataka Mpole achukue.
😀😀😂👍Kiatu cha mayeleView attachment 2276809
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ahsanteeeeee studio, hadi amekubali mwenyeweeee.Huyu kijana ana kipaji cha kufunga. Hongera nyingi kwake.
I wish angekuja kutuongezea nguvu wananchi pale mbele. Siyo mchezaji wa kubahatisha kwenye kufunga. Yeye ni one mistake, one goal!
Uongo, limekunyweaaaa huna lolote, eti uzalendo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata kama mimi ni Mwananchi! Lakini bado ni Mtanzania.
Hivyo ukimuweka George Mpole na Fiston Mayele, nitamuombea mafanikio George Mpole! Na huu ndiyo uzalendo wenyewe.