Uzalendo Unambeba George Mpole

Uzalendo Unambeba George Mpole

Kwahiyo mashabiki wa Simba leo mnafurahia mchezaji wenu mpya George Mpole angalau ataambulia tuzo ya ufungaji Bora.
 
Mashabiki wa uto wakati striker wenu hafungi mlikuwa mnasema amelogwa au amekamiwa na yeye akawaelewa na ikawa akihojiwa kwa nini hajafunga anatamka kwamba anakamiwa, sasa mnalia lia nini wana uto ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
IMG-20220629-WA0029.jpg
 
Wale waliokuwa wanasema hakuna mshambuliaji kama Mayele Tz mko wapi?

Halafu kumaliza msimu bila kufungwa sio ajabu Tz, Azam washafanya 2013/2014 na Simba washafanya 2009/2010
Usikute msimu wa 2009/2010 Timu zilikuwa 10 tu😁😁 Sasa tuna Timu 16 nani kidume kama si Yanga..?
 
Pia kingine wachezaji wengine timu pinzani wanamuona Fiston kuwa ni hatari sana.
Hivyo kupelekea kutompa mwanya wa kufanya lolote wakimkaba watatu au wanne kitu ambacho kwa George mpole hakipo.
Kwa hiyo unalalamika mabeki kumkaba Mayele na kumuachia George Mpole?
 
Aliyeharibu ni huyu afisa wa TFF. Badala ya kusubiri mechi ziishe, yeye akaanza kutoa ufafanuzi hadharani kwa kutaja majina na takwimu za Mayele na Mpole. Kimaadili, afisa anayehusika na maamuzi hakutakiwa kutanguliza maelezo kama hayo kabla ya mechi kuisha. Ni sawa na mjumbe wa Kamati ya Nidhamu kutaja hadharani adhabu atakayopewa mchezaji fulani hata kabla ya vikao vya kupitia kosa husika havijakaa, hata kama anajua

Bodi ya Ligi Tanzania Bara ‘TPLB’ imetoa ufafanuzi wa tuzo ya Mfungaji Bora kwa msimu wa 2021/22, ambao utafikia tamati leo Jumatano (Juni 29) katika viwanja vinane tofauti.

Afisa Habari wa TPLB Karim Boimanda, amesema endapo wawili hao watamaliza msimu wakiwa na mabao sawa ya kufunga, wataangalia kanuni ambazo zinatoa ufafanuzi nani anapaswa kuwa mfungaji bora.

Boimanda amesema: Ikitokea Fiston Mayele na George Mpole watamaliza msimu na magoli kama yalivyo sasa (16), kikanuni Mayele ndiye atakuwa mfungaji bora kwa kuwa hana goli la penati wakati Mpole ana penati mbili.”
 
Kila ukionekana unamshabikia Fiston kwenye mbio za kiatu unaambiwa wewe huyo Fiston si mzawa, sie tunataka Mpole achukue.

Mayele alipaswa awepo misituni sambamba na hawa Wacongo wenzake ili aipambanie nchi yake dhidi ya wanamgambo wanaotorosha madini nchini kwao

1656529451671.png
 
🔊 "Jamani eeeh, kuna timu imetimiza misimu 5 bila kutoa mfungaji bora. Washambuliaji wake inabidi wajumuishwe kwenye timu ya taifa ya walemavu itakayoenda kushiriki Olympic games . Tumeelewana?"
 
Huyu kijana ana kipaji cha kufunga. Hongera nyingi kwake.

I wish angekuja kutuongezea nguvu wananchi pale mbele. Siyo mchezaji wa kubahatisha kwenye kufunga. Yeye ni one mistake, one goal!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ahsanteeeeee studio, hadi amekubali mwenyeweeee.

Mpoleeeeeeeeeeee njoo huku.
 
Hata kama mimi ni Mwananchi! Lakini bado ni Mtanzania.

Hivyo ukimuweka George Mpole na Fiston Mayele, nitamuombea mafanikio George Mpole! Na huu ndiyo uzalendo wenyewe.
Uongo, limekunyweaaaa huna lolote, eti uzalendo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mlitafutiwa had vigezo vya mayele kupewa, Mpoleee akasema hii ni yangu, kachukuaaa mumnyime sasa tuone.
 
Back
Top Bottom