ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Rais Samia ili kulinda heshima yake aliyoijenga muda mrefu kwenye siasa ni vyema washauri wake wamshauri kuwajibika kujiuzulu
Wote tunajua na kutambua uongo na ulaghai wa iNEC kuwa Watanzania 32M walipiga kura
Ni uongo kuwa Samia alipata kura 31M
Ni uongo kuwa Samia Kwa Watanzania zaidi ya 98%
Serikali imeuawa Watanganyika wenzetu zaidi ya 10,000
Samia inatakiwa akiri kufanya kosa Kwa hayo mauaji yaliyofanywa na vyombo vya usalama, hivyo yeye kama amri jeshi mkuu kuwajibika Kwa kujiuzulu
Hatuwezi kukubali njama zozote za kupuuza hayo mauaji
Nchi inapoteza wahisani na wafadhilinwa miradi ya maendeleo kisa yeye analazimisha Urais fake,
Watanganyika watakosa huduma za jamii kama maji, elimu, vifaa tiba na muundo mbinu kisa Samia analazimisha Urais
Watanganyika wanaenda kuongezewa Kodi ili kuziba pendo ya fedha zilizokuwa zinatolewa na wahisani
Mamia ya Watanganyika wanaishi Kwa hofu na kutekwa
Kujiuzulu ni vigumu na ni hatua ngumu ila ni Bora Samia awajibike.
Binafsi nitamwona shuja kuliko hivi Sasa anavoficha ukweli
Zama hizi ukweli haufichiki
Gen Z wapo mbele ya muda