Hivi huwezi kudiscuss bila matusi. Ndoo akili yako inspoishia?
Hakuna kitu kama email laki moja kwenda ICC mnajitekenya na kucheka wenyewe.
Tanzania ina watu karibu milioni 70, nusu ya hao ni watu wenye umri wa kupiga kura. Zaidi ya watu wako wa online, mtaani kwenu unafahamu hata watu 20 walioandamana au wenye mpango wa kuandamana.
Mlichonacho ni kele za mtandaoni, zaidi ya asilimia 65 ya watanzania wanaishi vijijini, ni kijiji gani kilichoandamana???
Jibu kwa point sio mihemko
Wewe ni mpumbavu na unastahili kutukanwa kila aina ya tusi lilipo dunia hii, maana huna sifa ya kuwa binadamu sababu una roho mbaya ya kishetani kama ya mama ako samia.
Unaniambia nikutajie watu 20 walioandamana ninowafahamu mimi mtaani kwangu,? Swali gani sasa hilo mbwa wewe? Nikukutajia utawajua?
Hakuna sehemu ambapo maandamano yalishika kasi Tanzania hii kama Kimara kwanzia Baruti pale mpaka huku bonyokwa na hata hiyo 9 December ni wazi lazima yatakuwepo, kwani si hata kabla ya tarehe 29 mlisema hivi hivi eti ni kelele za mtandaoni tu? Endelea na madharau sasa utajionea.
Ndio maana huwa nasemaga nyie watetezi wa shetani samia karibu wote ni vilaza wa kutupwa kama yeye, unaniambia habari za watanzania wanaoishi vijijini kutoshiriki maandamano hili kuleta mantiki gani?
Kwamba unataka kuniambia wanaompenda huyo mama ako shetani wako vijijini? Unaweza kunipa uthibitisho huyo mama ako anapendwa na watu wa vijijini?
Na kwanza tangu lini watu wa vijijini wakashiriki political uprising na wakati awareness kwao huwa ni ndogo?
Kuwa na akili fala wewe, siku zote maandamano popote pale huwa yanafanyika kwenye majiji makubwa yenye watu wengi na wenye awareness ya uozo wote wa serikali, kwa Tanganyika hapa maandamano yalifanyika kwenye miko zaidi ya 7 mikubwa hayo yalitosha kabisa kufikisha ujumbe duniani kote na kuuondoa huu utawala dhalimu wenye kila aina ya ushetani kama isingekuwa genge la samia kutumia silaha za kivita kupambana na civilians.
Eti "samia anapendwa na watu"...pumbavu kabisa, nani anayempenda huyo shetani aliyeua maelfu ya watu wasio na hatia tofauti na nyie machawa msiyejali chochote zaidi ya matumbo yenu?
Yaani mmebaki kumdanganya tu eti wanaomchukia ni wachache, na wakati hali halisi mnajionea huku mtaani jinsi watu walivyokuwa na hasira naye na wanatamani afe muda wowote wafanye sherehe?
Angalia sasa hivi nchi inaenda kupigwa vikwazo vya kiuchumi kwa ajili yake, halafu mnakomaa eti ni chaguo la watu?
Na mpango wa kumuondoa huyo shetani wa kizanzibari bado uko pale pale licha ya yeye kulindwa na mabunduki 24/7
Huwa nayachukia sana majitu kama wewe ambao mnafanya propaganda za kumsafisha huyu shetani aonekane bado anapendwa na watanganyika licha ya ukatili aliotufanyia.