Uzalendo: Wabunge wa CHADEMA waliohamia NCCR Mageuzi watoa "viinua mgongo" vyao kati ya Tsh. 40m na 50m kila mmoja kufadhili Mkutano Mkuu!

Futuhiii ndio ni Futuhii.
 
Una hakika gani hizo pesa hawajarudishiwa kwa mlango wa nyuma?!

Hiyo ahadi aliyoitoa Mbatia ya chama kuwaenzi unaijua maana yake?
Kinachofanyika ni kuficha chanzo cha zile 200M zilizotolewa na Serikali ya CCM kwa ahadi ya kuifanya NCCR chama kikuu cha upinzani.
Lakini nguvu ya Lissu imevuruga mission nzima maana CCM itambebaje nccr wakati yenyewe inapumulia machine?
 
Siku nyingine uandike ukiwa umetulia
 
Wakishinda uchaguzi ujao naenda kukojolea kwenye corridor la ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro!
 
Lijualikali aje ahoji na huku!
Ni rahisi sana kuhoji ukiwa upinzani lakini kamwe hutokaa umsikie tena akihoji huko chama tawala. Huko upinzani ni rahisi kutunishiana msuli lakini sio huo upande mwingine kunawenyewe
 
Wajaribu Wabunge wa Chadema waone kesho asubuhi "Press Conference" ya Boss wa TAKUKURU....Hakika hii ni TAKUKUCHA
 
Hii pia inaweza kuwa ni kununua nafasi ya kuwakilisha chama / jimbo ili waweze kurudi bungeni kutengeneza zaidi ya hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…