johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Hahahaaaa........ Hawakuwa wanapewa control number kama CCM!Laki 5 kuchangia Chadema walikuwa wanalalamika nini sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa........ Hawakuwa wanapewa control number kama CCM!Laki 5 kuchangia Chadema walikuwa wanalalamika nini sasa?
Wakae kwa kutulia huko hukoHahahaaaa........ Hawakuwa wanapewa control number kama CCM!
HahahaaaaWewe unaamini maneno hayo? Kuwa makini na wanasiasa, mkutano wa Nccr unarushwa live na TBC.
Futuhiii ndio ni Futuhii.Hii kama siyo rushwa basi ni uzalendo na Utu uliotukuka.
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amewashukuru waliokuwa wabunge kupitia Chadema na sasa wamehamia chama hicho kwa mchango wao mkubwa wa fedha uliofanikisha mkutano mkuu ufanyike.
Mbatia amewataja mh Selasini. Mh Komu, mh Suzan Masele na mwingine mmoja kwamba kila mmoja wao ametoa kiinua mgongo chake cha miaka 5 kuchangia gharama za mkutano mkuu.
Mbatia amebainisha wabunge hao wa zamani wa CHADEMA kutoa kiasi cha sh milioni 40 hadi 50, na kwamba hilo siyo jambo dogo na ameahidi chama kuwaenzi.
Maendeleo hayana vyama!
KUMBE TAKUKURU WAPO KWA AJIRI YA VYAMA FURANI TU, SI HAO NDO WALIKUWA WANALAKAMIKA KUCHANGIA CHADEMA HADI TAKUKURU WAKAENDA KUCHUNGUZA. kunya ni kunya tu lakini akinya bata.......,Lijualikali aje ahoji na huku!
Kinachofanyika ni kuficha chanzo cha zile 200M zilizotolewa na Serikali ya CCM kwa ahadi ya kuifanya NCCR chama kikuu cha upinzani.Una hakika gani hizo pesa hawajarudishiwa kwa mlango wa nyuma?!
Hiyo ahadi aliyoitoa Mbatia ya chama kuwaenzi unaijua maana yake?
NCCR ni mchepuko wa Lumumba hivyo buzi ndiyo limechangia hayo mengine ni mbwembwe tuWewe unaamini maneno hayo? Kuwa makini na wanasiasa, mkutano wa Nccr unarushwa live na TBC.
Shemela wa Mr zeroMama Tanzania kwa usanii anaongoza
We kijana!!! Hilo neno la mwisho ambalo linawakilisha Taasisi umekosea. Hukusoma Imla shileni?Wakichangia Chadema wanapelekwa takokuru
Siku nyingine uandike ukiwa umetuliaHii kama siyo rushwa basi ni uzalendo na Utu uliotukuka.
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amewashukuru waliokuwa wabunge kupitia Chadema na sasa wamehamia chama hicho kwa mchango wao mkubwa wa fedha uliofanikisha mkutano mkuu ufanyike.
Mbatia amewataja mh Selasini. Mh Komu, mh Suzan Masele na mwingine mmoja kwamba kila mmoja wao ametoa kiinua mgongo chake cha miaka 5 kuchangia gharama za mkutano mkuu.
Mbatia amebainisha wabunge hao wa zamani wa CHADEMA kutoa kiasi cha sh milioni 40 hadi 50, na kwamba hilo siyo jambo dogo na ameahidi chama kuwaenzi.
Maendeleo hayana vyama!
Wakishinda uchaguzi ujao naenda kukojolea kwenye corridor la ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro!Hii kama siyo rushwa basi ni uzalendo na Utu uliotukuka.
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amewashukuru waliokuwa wabunge kupitia Chadema na sasa wamehamia chama hicho kwa mchango wao mkubwa wa fedha uliofanikisha mkutano mkuu ufanyike.
Mbatia amewataja mh Selasini. Mh Komu, mh Suzan Masele na mwingine mmoja kwamba kila mmoja wao ametoa kiinua mgongo chake cha miaka 5 kuchangia gharama za mkutano mkuu.
Mbatia amebainisha wabunge hao wa zamani wa CHADEMA kutoa kiasi cha sh milioni 40 hadi 50, na kwamba hilo siyo jambo dogo na ameahidi chama kuwaenzi.
Maendeleo hayana vyama!
Ni rahisi sana kuhoji ukiwa upinzani lakini kamwe hutokaa umsikie tena akihoji huko chama tawala. Huko upinzani ni rahisi kutunishiana msuli lakini sio huo upande mwingine kunawenyeweLijualikali aje ahoji na huku!
Wajaribu Wabunge wa Chadema waone kesho asubuhi "Press Conference" ya Boss wa TAKUKURU....Hakika hii ni TAKUKUCHAHii kama siyo rushwa basi ni uzalendo na Utu uliotukuka.
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amewashukuru waliokuwa wabunge kupitia Chadema na sasa wamehamia chama hicho kwa mchango wao mkubwa wa fedha uliofanikisha mkutano mkuu ufanyike.
Mbatia amewataja mh Selasini. Mh Komu, mh Suzan Masele na mwingine mmoja kwamba kila mmoja wao ametoa kiinua mgongo chake cha miaka 5 kuchangia gharama za mkutano mkuu.
Mbatia amebainisha wabunge hao wa zamani wa CHADEMA kutoa kiasi cha sh milioni 40 hadi 50, na kwamba hilo siyo jambo dogo na ameahidi chama kuwaenzi.
Maendeleo hayana vyama!
We kada una roho ngumu sana sijui unalipwa pesa ngapi pale kwa wacheza taarabu bwasheee!Endelea kukariri bwashee!