Uzalishaji wa Cement Tanzania ni takriban mara mbili zaidi ya Kenya

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Tanzania inaelekea kushika soko lote la cement katika ukanda huu kwa kuwa na idadi kubwa ya viwanda vinavyozalisha Cement, Tanzania ina jumla ya viwanda 13 ambavyo kwa mwaka vinazalisha tani za ujazo 10.6M, huku Kenya ikifuatia kwa mbali ikiwa na jumla ya viwanda 5 vinavyozalisha jumla ya tani za ujazo 5.7M kwa mwaka. Hii ndio ile Tanzania ya viwanda tuliokua tukiota.

=======

Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa, alisema hayo jana alipotembelea kiwanda cha kuzalisha saruji cha Camel, kilichoko Mbagala, jijini Dar es Salaam.

Bashungwa yuko kwenye ziara ya kukagua hali ya uzalishaji kwenye viwanda vya saruji kuangalia changamoto na kuzitatua baada ya nchi kadhaa kutaka kununua saruji ya Tanzania.

Alisema Tanzania ina viwanda 13 vya saruji ambavyo vina uwezo wa kuzalisha tani milioni 10.6 kwa mwaka lakini mahitaji ya ndani kwa mwaka yanafikia tani milioni sita tu, hivyo kuwa na uwezo wa kuzalisha ziada ya kuuza nje.

“Kwenye uzalishaji viwandani tuko vizuri sana na tunazidi kufanikiwa na ndiyo sababu wenzetu wameona nchini kwetu kuna fursa ya kununua saruji kwa sababu kwa sasa tuna ziada ya kuuza nje. Tunamshukuru Rais (John) Magufuli kwa maono yake makubwa kwenye sekta hii,” alisema.

Bashungwa alisema hatua ya nchi hizo kuiomba Tanzania izalishe saruji kwa wingi ili zije kununua ni jambo la kujivunia.

“Kutokana na fursa hii, Wizara tutaenda kila kiwanda kuangalia wanapokwama na tuwasaidie wasonge mbele kwasababu tukiongeza uzalishaji tutaongeza pia ajira kwa vijana wetu hapa nchini,” aliongeza Bashungwa.

Alisema kiwanda hicho kimejitahidi kuwekeza kwenye teknolojia ya kisasa na kuzalisha saruji nyingi na amewashauri watafute teknolojia zaidi kwaajili ya kujipanua zaidi ya Mbagala.

Waziri Bashungwa alisema serikali inataka kuona viwanda vya saruji vinajipanua na kujenga vingine kwenye mikoa ya kati na ile ya Kanda ya Ziwa ili kuachana na usafirishaji wa bidhaa hiyo kwa umbali mrefu.

Alimwagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Profesa Riziki Shemdoe, kukaa na wenye viwanda ili kuangalia wanavyoweza kuwekeza mikoa mingine na kama kutakuwa na changamoto wazitatue.

“Wizara inataka kujua mnataka nini na kwa sababu nia yetu ni kuona viwanda vinajengwa mikoa ya kanda ya kati na Kanda ya Ziwa tutawasaidia kutatua changamoto mtakazotuambia,” alisema.

Meneja Mkuu wa Camel Cement, Sundarraj Rajagopal, alisema wanaweza kuongeza uzalishaji kama watawekewa mazingira mazuri zaidi kama upatikanaji wa rasilimali za kuzalisha bidhaa hiyo.

Alisema serikali kupitia wizara hiyo itawasaidia sehemu ambayo wanaweza kupata kwa urahisi rasilimali ya ‘limestone’ na ‘crinker’ ili waongeze uzalishaji na bei ya bidhaa hiyo itashuka.

Source: https://www.ippmedia.com/sw/habari/saruji-ya-tanzania-yapata-soko-eac-sadc
 
Chinese cement firm buys Tanga’s Maweni Limestone

Maweni%20Limestone%20ED1.jpg

Tanga’s Maweni Limestone mine.
The Chinese cement producer will invest the U$116 million into Maweni Limestone to settle its liabilities while another U$30 million will be used to complete plant construction and an upgrade. ARM Cement operates an integrated plant at Tanga and a grinding plant at Dar es Salaam.

The agreement dates back to September 2019 when it was publicly announced, well before the current health scare that the deal is in the pipeline. The acquisition is part of the Chinese expansion plan in Sub-Saharan Africa which started in 2013.
ARM Cement has seriously suffered financial constraints since 2017 when cement demand fell in Kenya, a coal import ban in Tanzania caused production issues at its Tanga plant and increased competition hit both countries.

It entered administration in the summer of 2018 and previous owner Pradeep Paunrana has been fighting PricewaterhouseCoopers’ attempts to sell the business to local rival National Cement in Kenya. In some respects the timing of this deal may also be bad for Huaxin Cement given that it’s just suffered a 36 percent year-on-year drop in sales revenue to US$542m in the first quarter of 2020, due to the coronavirus outbreak. If the company can’t absorb this through the rest of the year then it might have a problem.

The real trend here in Chinese expansion strategy by its cement sector is a move from imports, building plants and co-financing projects to outright asset acquisition. This isn’t the first example either. West China Cement completed its purchase of a majority stake in Schwenk Namibia for US$104m in January 2020.

This gave it control of Ohorongo Cement. Other recent Chinese moves in Sub-Saharan Africa include the supply of a modular grinding mill in Guinea by Sinoma and the competition of construction of a 1Mt/yr integrated plant in Lubudi Territory in Democratic Republic of Congo by another CNBM subsidiary, Tianjin Cement Industry Design and Research Institute.

An outlier from the more traditional Chinese routes of either supplying equipment and/or co-financing cement plants in Africa has been the CNBM/Sinoma plan to build a 7Mt/yr ‘mega’ plant in Tanzania.

Once completed it will nearly double local clinker production. Unsurprisingly, when it was first announced it was pitched towards the export market. Together with the Huaxin Cement purchase, once the CNBM project completes, Chinese companies will own the majority of cement production capacity in Tanzania.

======

MY TAKE: Hawa wanafanya expansion of ARM cement baada ya kuinunua kabla ya kuifungua! Yaani si cement tu bali hata steel, glass and sugar sectors Tanzania will have no competition looking at the ongoing projects! In agricultural output we r already far ahead!
 
Chinese cement firm buys Tanga’s Maweni Limestone
ippmedia.com/en/business/chinese-cement-firm-buys-tanga’s-maweni-limestone
3. Juli 2020
Home

03Jul 2020
The Guardian Reporter
Dar es Salaam
Business
The Guardian
Chinese cement firm buys Tanga’s Maweni Limestone
CHINESE based Huaxin Cement buys bought a controlling stake of Maweni Limestone from Kenya based ARM Cement in a U$116 million deal last month.
Maweni%20Limestone%20ED1.jpg

The Chinese cement producer will invest the U$116 million into Maweni Limestone to settle its liabilities while another U$30 million will be used to complete plant construction and an upgrade. ARM Cement operates an integrated plant at Tanga and a grinding plant at Dar es Salaam.

The agreement dates back to September 2019 when it was publicly announced, well before the current health scare that the deal is in the pipeline. The acquisition is part of the Chinese expansion plan in Sub-Saharan Africa which started in 2013.
ARM Cement has seriously suffered financial constraints since 2017 when cement demand fell in Kenya, a coal import ban in Tanzania caused production issues at its Tanga plant and increased competition hit both countries.

It entered administration in the summer of 2018 and previous owner Pradeep Paunrana has been fighting PricewaterhouseCoopers’ attempts to sell the business to local rival National Cement in Kenya. In some respects the timing of this deal may also be bad for Huaxin Cement given that it’s just suffered a 36 percent year-on-year drop in sales revenue to US$542m in the first quarter of 2020, due to the coronavirus outbreak. If the company can’t absorb this through the rest of the year then it might have a problem.

The real trend here in Chinese expansion strategy by its cement sector is a move from imports, building plants and co-financing projects to outright asset acquisition. This isn’t the first example either. West China Cement completed its purchase of a majority stake in Schwenk Namibia for US$104m in January 2020.

This gave it control of Ohorongo Cement. Other recent Chinese moves in Sub-Saharan Africa include the supply of a modular grinding mill in Guinea by Sinoma and the competition of construction of a 1Mt/yr integrated plant in Lubudi Territory in Democratic Republic of Congo by another CNBM subsidiary, Tianjin Cement Industry Design and Research Institute.

An outlier from the more traditional Chinese routes of either supplying equipment and/or co-financing cement plants in Africa has been the CNBM/Sinoma plan to build a 7Mt/yr ‘mega’ plant in Tanzania.

Once completed it will nearly double local clinker production. Unsurprisingly, when it was first announced it was pitched towards the export market. Together with the Huaxin Cement purchase, once the CNBM project completes, Chinese companies will own the majority of cement production capacity in Tanzania.

MY TAKE
hawa wanafanya expansion of ARM cement baada ya kuinunua kabla ya kuifungua! Yaani si cement tu bali hata steel, glass and sugar sectors Tanzania will have no competition looking at the ongoing projects! In agricultural output we r already far ahead!
Hiki walichonunua ni tofauti na hicho kipya wanachojenga ambacho kitakua kikubwa kuliko vyote katika ukanda huu, hiki kipo katika kitongoji cha Amboni karibu na mapango ya Amboni, hiki kilianzishwa enzi za Nyerere, hicho kipya kinajengwa katika Kijiji cha Mtimbwani, umbali wa kilometer kama kumi kutoka kilipo hiki cha Amboni kuelekea Mombasa, na umbali wa Kilometa kama sita kutoka Chongoleani linapoishia Bomba la mafuta toka Uganda.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Tutapiga marufuku saruji kutoka Tanzania. Mbona tununue saruji kutoka kwa jirani mwenye roho mbaya?
Tatizo lako Tony254 huwa unapotea sana, tunakua na wasiwasi hasa wakitaja idadi ya waliokufa kwa Corona imefikia zaidi ya 600[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hiki walichonunua ni tofauti na hicho kipya wanachojenga ambacho kitakua kikubwa kuliko vyote katika ukanda huu, hiki kipo katika kitongoji cha Amboni karibu na mapango ya Amboni, hiki kilianzishwa enzi za Nyerere, hicho kipya kinajengwa katika Kijiji cha Mtimbwani, umbali wa kilometer kama kumi kutoka kilipo hiki cha Amboni kuelekea Mombasa, na umbali wa Kilometa kama sita kutoka Chongoleani linapoishia Bomba la mafuta toka Uganda.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Ni kampuni tofauti kaka pitia habari utaona moja ni Sinoma na nyingine Huaxin! All major cement producers in China!
 
halafu Sinoma is off-loading a brand new plant in Tanga! To be the largest in the region 7 mln tonnes capacity a year!
Ni mtu mjinga tu anayeweza kujenga cement plant zinazozalisha zaidi ya mara dufu ya matumizi yake. Afrika hakuna demand ya cement kwa sababu kila nchi inajitosheleza. Hio extra capacity mtapeleka wapi? Siku hizi hakuna nchi yoyote ya Afrika ambayo haijitoshelezi kwa uzalishaji wa saruji.
 
Saruji ya Tanzania yapata soko EAC, SADC
Tanzania inaelekea kushika soko lote la cement katika ukanda huu kwa kuwa na idadi kubwa ya viwanda vinavyozalisha Cement, Tanzania ina jumla ya viwanda 13 ambavyo kwa mwaka vinazalisha tani za ujazo 10.6M, huku Kenya ikifuatia kwa mbali ikiwa na jumla ya viwanda 5 vinavyozalisha jumla ya tani za ujazo 5.7M kwa mwaka. Hii ndio ile Tanzania ya viwanda tuliokua tukiota.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Na bado kuna kiwanda kingine hapi Tanga cha wachina....yani hawa wache na kelele zao plus ujinga ulio kidhiri ....watajua Tz ni nani kwa ukanda huu[emoji706]
 
Ni mtu mjinga tu anayeweza kujenga cement plant zinazozalisha zaidi ya mara dufu ya matumizi yake. Afrika hakuna demand ya cement kwa sababu kila nchi inajitosheleza. Hio extra capacity mtapeleka wapi? Siku hizi hakuna nchi yoyote ya Afrika ambayo haijitoshelezi kwa uzalishaji wa saruji.
tell Sinoma na Huaxin wanajua wapi watapeleka! ☝ 😀 😀 😀
 
Ni mtu mjinga tu anayeweza kujenga cement plant zinazozalisha zaidi ya mara dufu ya matumizi yake. Afrika hakuna demand ya cement kwa sababu kila nchi inajitosheleza. Hio extra capacity mtapeleka wapi? Siku hizi hakuna nchi yoyote ya Afrika ambayo haijitoshelezi kwa uzalishaji wa saruji.
Endelea kukaa na mawazo mgando...tutawalete nyie lazy ....na the rest Africa
 
Back
Top Bottom