joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #41
Onyesha ni bidhaa gani ya Tanzania ambayo soko lake kuu ni Kenya, sisi hatuiangalii Kenya kama soko, badala yake tunaiangalia kama mshindani wetu katika biashara.Ndio nauliza watadump wapi hio extra cement? Kenya tayari tunajitosheleza kimahitaji. Wao demand yao ni less than 5 million tonnes ilhali wanazalisha 10 million tonnes na wanapanga kujenga kiwanda cha 7 million tonnes. Yaani capacity ya Tz itakuwa 17 million tonnes in the next few years yet demand yao ni less than 5 million. So I was just saying that Kenya tusiwakubalie hawa watu wadump cement yao huku. Itaua industries zetu coz TZ cement will be cheaper and will bring competition to our local industries. We already have anti-dumping regulations, we just need to apply them. TZ is producing far more cement than they need coz their goal is to export the surplus to other African countries. Our local tyre industry was killed by importation of cheap Chinese tyres. Yana tyre closed because of competition from chinese tyres.
Tanzania masoko yetu makubwa ni DRC, Zambia, Malawi, Rwanda, Burundi, South Africa, Comoro na Zimbabwe. Sasa hivi DRC ndio inaongoza kwa kununua Cement yetu, ikifuatiwa na Comoro, Zambia, Rwanda na Uganda.