Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Tunawacharaza kwenye export market ya kahawa, chai, mboga, maua, textile, processed goods na mafuta.Ninataka kujua ni bidhaa gani muhimu Kenya inaizidi Tanzania katika uzalishaji, ninajaribu kutafuta lakini sioni zaidi ya siagi na Jojo.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app