joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #61
Kama utaendelea na tabia yako ya kusema vitu bila ushahidi au kudanganya kwa makusudi ili kutaka kushinda mjadala, nitaanza kukupuuza sitojibu posts zako, punguza ujinga japo kidogo.Unachekesha sana, unataka ushahidi upi zaidi ya hizo takwimu za 2019 hapo kwenye link hiyo niliokuekea hapo? Mwaka wa 2019 viwanda vya Kenya viliingiza $7.12Billion kwenye uchumi wa nchi ya Kenya, viwonder vya Tz vikaingiza $996Million tu kwenye uchumi wa Tz. Ushuru tu ambao GOK ilitoza viwanda vya Kenya 2019, $1.64Billion ni zaidi ya production yote ya viwanda vya Tz. Sasa hapo kuna nini cha kulinganisha? >>>Kenya Manufacturing sector vs Tanzanian's Hivi huu uzi si ni wewe mwenyewe ndio uliuanzisha? 😀 Alafu ukachemsha kwa kufanya conversion ya KES 712B na kusema ni $712M, badala ya $7.12B, na eti viwanda vya Tz @996M vimezidi viwanda vya Kenya.
Hii hapa ripoti ya dhamani ya manufacturing sector ya Tanzania ya mwaka 2018 ni $4 B, hiyo $969M umetoa wapi?, Tanzania Industry - TanzaniaInvest
Punguza ujinga kaka, unakuwa kama chizi kwanini?