Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
We kweli kichaaHatuzalishi mafuta. Tunaimport kisha tunawauzia wafanyibiashara wa nchi jirani kisha tunapata faida nono. Wacha nikutafutie nakala niliyosoma kuihusu. Lakini pengine unaweza kusema kuwa hio sio kuzalisha bali ni kununua na kuuza. Kama hicho ndicho kigezo chako basi tunaweza kutoa mafuta kwenye hio listi niliyopost.
Yaani utajilinganisha na mzalishaji anazalisha mafuta kuanzia mbegu, kulima, kupalilia, kuvuna, kuprocess, kupack, kusafirisha, kuuza na wewe kenge unaerepack already processed imported materials, nani kati ya hawa anapata faida nono kwenye value chain? 😂😂😂😂