Uzalishaji wa Cement Tanzania ni takriban mara mbili zaidi ya Kenya

Tony hakuongea kichumi aliongea as if ni schooless person, utasemaje eti nchi tunazo trade nazo ni maskini ameangalia gdp au kitu gn ndipo joto akamuweka sawa, ss we unakuja na majibu yako ya bila kutumia akili au unajitoa ufahamu ukiwa unaelewa.
 
Marekani haitegemei soko la kenya cz hata tusippnunua bado wanawashirika wengi sana na wenye kutuzidi na mbali..

Kw mfano ukiangalia matumizi ya saruji kenya huenda ikawa ni nusu hta zaidi ya nchi km tatu katika hzo ulizozitaja..
Jambo la kwanza ninapenda kukushauri kwamba sio busara kujibu post za kila mtu hapa JF, hii inakufanya kushindwa kupata muda wa kusoma kwa makini na kuelewa kile kinachokusudiwa, matokeo yake unajibu nje kabisa na kile kinachozungumzwa, post zako nyingi zinaonyesha kutokua makini katika majibu yako.

Nani aliyesema kwamba Tanzania tunategemea soko la nchi moja?, sisi tumesema tunauza Cement yetu katika nchi mbalimbali zilizotuzunguka na hata nchi za mbali kama Zimbabwe na South Africa, hii habari ya Marekani kutotegemea Kenya na Tanzania kutegemea Djibouti imekujaje na inahusianaje?, sisi tumetaja nchi ambazo tunaziuzia Cement na zile ambazo tunategemea kuziuzia siku zijazo, sasa huko kutegemea kumeanzia wapi?, wacha kudandia kujibu bila kuelewa mada husika
 
Na Kwa kuongezea TANZANIA ni kubwa zaidi ya kenya
 
Tony hakuongea kichumi aliongea as if ni schooless person, utasemaje eti nchi tunazo trade nazo ni maskini ameangalia gdp au kitu gn ndipo joto akamuweka sawa, ss we unakuja na majibu yako ya bila kutumia akili au unajitoa ufahamu ukiwa unaelewa.
Soma post yangu. Niliongea kuhusu uchumi wa nchi hizo. Pia nilitaja purchasing power yao.
 
Alaaa!!umeanza kurukaruka sio, mbna pale tonny aliposem mnauzia nchi maskini ulipinga mpka kutoa mfano wa marekani kuhusu kufanya biashara..

Sasa umeona nimeanza kukufinyilia makendw vizuri eti unajitia una hekima na kutaka kujinasua..
Pole sana jomba
 
Tony hakuongea kichumi aliongea as if ni schooless person, utasemaje eti nchi tunazo trade nazo ni maskini ameangalia gdp au kitu gn ndipo joto akamuweka sawa, ss we unakuja na majibu yako ya bila kutumia akili au unajitoa ufahamu ukiwa unaelewa.
Naona sasa mumeanza kujinasua pole pole, ila msijali hapa ni sehemu ya kuwekana sawa..
 
Wewe una matatizo ya akili, sisi kuwauzia cement nchi hizo mnazoziita masikini ni sawa na Marekani kuwauzia kenya bidhaa, hiyo haimainishi kwamba Marekani inaitegemea Kenya wala sio kwamba Tanzania inaitegemea Djibouti, hiyo ni biashara, tunazo nchi nyingi ambazo tunaweza kuwauzia hatutegemei nchi moja kama ambavyo Marekani inaweza kuacha kuwauzia Kenya na isiathirike kibiashara, hata Tanzania tunaweza tusiuzie Comoro au Djibouti na tusiathirike kibiashara kwasababu hatuzitegemei kama wewe unavyisema.
 
Lkn hapa hapa bongo cement bado haijatosheleza, hususani miezi hii huwa inasumbua sana
Sahizi kukaa wiki tatu ndo itoke order yako kawaida afu mtu anajitapa tunazalisha sana ati uwekezaji mkubwa huku haukidhi mahitaji
 
Sahizi kukaa wiki tatu ndo itoke order yako kawaida afu mtu anajitapa tunazalisha sana ati uwekezaji mkubwa huku haukidhi mahitaji
Wengine wanaongea tu hawahui hata issue zinaendaje huku mtaani
 
Asante sana kw kuelewa somo[emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…