Uzalo Special Thread


Old sana iyo, dahh alafu wote black skin
 
hongera sana mkuu, natumai umeicheki hadi tamati... nawe twasubiri mrejesho wako kuhusu kifo cha xulu na yanayojiri..
dah nami kwa kweli leo nimeikosa ndugu
Majukumu jamani, nilijua nitaikuta mapema nitawahi kutoka. πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Dah mpaka jumamos niivizie
 
Pastor amekamatwa akihusishwa na mauaji ya Xulu...polisi(akiwemo dhlomo na mabuza) walienda na search warant kwa pastor,akiwa na familia yake wanashangaa na kuhoji nini kinaendelea,mabuza atoa search warant na kuamuru polis waanze kusearch,wakaenda hadi kwe ofisi yake,wakapata nguo (yenye damu) ya pastor iliyofichwa kwenye kifurushi na kumkamata pastor...
 
Mxolisi anaonekana na shauku kubwa ya kutaka kuendesha biashara ya baba yake,baada ya kumwambia MK,kuwa inapaswa wakae chini kujadili namna gan biashara itaendeshwa ikiwa ni kabla hata ya maandiliz ya mazish kufanyika.MK amuonya na kumtaka afikirie mazish kwanza kabla ya biashara na aite kikao cha familia ili wapange mazishi ya baba yake,Xulu...
 
aaah aseeh pastor sasa yamemkuta aseeh
Xulu is no more dah.. Mbona mapema sana?
So aliyemmaliza xulu ni mk au pastor?
 
aaah aseeh pastor sasa yamemkuta aseeh
Xulu is no more dah.. Mbona mapema sana?
So aliyemmaliza xulu ni mk au pastor?
Mk ndio aliyempiga,lkn kwa kuwa alikuwa kasimama na pastor na kumuangukia kabla hata hajafyatua risasi,msala upo kwake
Jee ni nani aliyechoma gari na mwili?maana mk alionekana akisepa
 
Nimesikitika sana kwa yanamkuta pastor.. Anaonekana kukata tamaa kabisa, hasa pale alipokuwa anaongea na mkewe ma nzunza,
Halafu li mabuza ndo linatumia hii kama chance ya kumnyanyasa pastor kisa sponsor wake kafa πŸ˜‚πŸ˜‚
Dhlomo nae anajaribu kumnasua pastor ila wapi..!
Nombuso naona yuko deep na mxo everytime anamzungumzia..!

Mama mxo muda wote analia sana sad.!
Halafu kale ka nosipho huwa nakapenda sana yaani kametulia hakanaga mambo mengi, na kalikuwa kanmkubali mzee wake dah,
Tuwe wakweli dhlomo ametengeneza disaster yote hii.. πŸ€” alimchochea sana MK.

Sma ni pisi kali nyieee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dah aisee
Nosipho ameumizwa sana na kifo cha baba yake, halafu walikuwa wanapendana sana yaani sasa sijui Why kajikuta kampa mate mastermind dah πŸ˜€πŸ˜€

Mxo kakabidhiwa kiti sasa ila naona mk kamaindi kiaina..
Halafu huyu pastor mpya mbona kama anammaindi mama pastor?
Sio kwa mahubiri ya namna ile anamchana pastor wazi wazi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…