Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Wakuu kwa Wale wapenzi wa isidingo tuliipenda sana lakini hakuna kisicho na mwisho. Hivyo kwa sisi wafuatiliaji wa itv. Wameamua kutuletea tamthilia mpya ya UZALO japo sina hakika kama ni mpya kabisa ni ya muda kidogo. Kama mwaka juzi

Hivyo uzi huu ni wa kupeana update kwa Wale watakaokosa na ikiwezekana kuweka mkeka wote kiufupisho kidogo hapa. Imeanza ina kama mwezi uzuri waigizaji wa isidingo wapo humu humu. Kuna lungi wa isidingo yupo humu kacheza kama sindi.

Kuna yule aliyekuwa mzee wake sechaba kacheza kama inspector dhlomo.


Ni balaa hii
View attachment 1831308
View attachment 1831309View attachment 1831310
View attachment 1831311

Old sana iyo, dahh alafu wote black skin
 
hongera sana mkuu, natumai umeicheki hadi tamati... nawe twasubiri mrejesho wako kuhusu kifo cha xulu na yanayojiri..
dah nami kwa kweli leo nimeikosa ndugu
Majukumu jamani, nilijua nitaikuta mapema nitawahi kutoka. 🤔🤔🤔

Dah mpaka jumamos niivizie
 
Pastor amekamatwa akihusishwa na mauaji ya Xulu...polisi(akiwemo dhlomo na mabuza) walienda na search warant kwa pastor,akiwa na familia yake wanashangaa na kuhoji nini kinaendelea,mabuza atoa search warant na kuamuru polis waanze kusearch,wakaenda hadi kwe ofisi yake,wakapata nguo (yenye damu) ya pastor iliyofichwa kwenye kifurushi na kumkamata pastor...
 
Mxolisi anaonekana na shauku kubwa ya kutaka kuendesha biashara ya baba yake,baada ya kumwambia MK,kuwa inapaswa wakae chini kujadili namna gan biashara itaendeshwa ikiwa ni kabla hata ya maandiliz ya mazish kufanyika.MK amuonya na kumtaka afikirie mazish kwanza kabla ya biashara na aite kikao cha familia ili wapange mazishi ya baba yake,Xulu...
 
Pastor amekamatwa akihusishwa na mauaji ya Xulu...polisi(akiwemo dhlomo na mabuza) walienda na search warant kwa pastor,akiwa na familia yake wanashangaa na kuhoji nini kinaendelea,mabuza atoa search warant na kuamuru polis waanze kusearch,wakaenda hadi kwe ofisi yake,wakapata nguo (yenye damu) ya pastor iliyofichwa kwenye kifurushi na kumkamata pastor...
aaah aseeh pastor sasa yamemkuta aseeh
Xulu is no more dah.. Mbona mapema sana?
So aliyemmaliza xulu ni mk au pastor?
 
Nimesikitika sana kwa yanamkuta pastor.. Anaonekana kukata tamaa kabisa, hasa pale alipokuwa anaongea na mkewe ma nzunza,
Halafu li mabuza ndo linatumia hii kama chance ya kumnyanyasa pastor kisa sponsor wake kafa 😂😂
Dhlomo nae anajaribu kumnasua pastor ila wapi..!
Nombuso naona yuko deep na mxo everytime anamzungumzia..!

Mama mxo muda wote analia sana sad.!
Halafu kale ka nosipho huwa nakapenda sana yaani kametulia hakanaga mambo mengi, na kalikuwa kanmkubali mzee wake dah,
Tuwe wakweli dhlomo ametengeneza disaster yote hii.. 🤔 alimchochea sana MK.

Sma ni pisi kali nyieee 😂😂😂
 
Dah aisee
Nosipho ameumizwa sana na kifo cha baba yake, halafu walikuwa wanapendana sana yaani sasa sijui Why kajikuta kampa mate mastermind dah 😀😀

Mxo kakabidhiwa kiti sasa ila naona mk kamaindi kiaina..
Halafu huyu pastor mpya mbona kama anammaindi mama pastor?
Sio kwa mahubiri ya namna ile anamchana pastor wazi wazi..
 
Back
Top Bottom