Vera ginger
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 1,458
- 1,887
Inspecta alimjaza kuwa Zulu anataka amrudishe jelaHebu funguka mkuu ilikuwaje leo
Xulu kapigwa risasi na mk?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inspecta alimjaza kuwa Zulu anataka amrudishe jelaHebu funguka mkuu ilikuwaje leo
Xulu kapigwa risasi na mk?
sanaa.. na mashaka atakayokua nayo hayatomuacha salamaDaa pastor ana bahati mbaya sana
ndiyoSarafina nasikia yupo kwenye UZALO.
Nahisi kama Zulu hajafa,sio mtu kamuokoa na kuchoma maiti inginesanaa.. na mashaka atakayokua nayo hayatomuacha salama
apo Kuna utata ngoja tuoneNahisi kama Zulu hajafa,sio mtu kamuokoa na kuchoma maiti ingine
Tuone picha linavyoenda
Pastor mashaka yamemjaa[emoji2]
Wakuu kwa Wale wapenzi wa isidingo tuliipenda sana lakini hakuna kisicho na mwisho. Hivyo kwa sisi wafuatiliaji wa itv. Wameamua kutuletea tamthilia mpya ya UZALO japo sina hakika kama ni mpya kabisa ni ya muda kidogo. Kama mwaka juzi
Hivyo uzi huu ni wa kupeana update kwa Wale watakaokosa na ikiwezekana kuweka mkeka wote kiufupisho kidogo hapa. Imeanza ina kama mwezi uzuri waigizaji wa isidingo wapo humu humu. Kuna lungi wa isidingo yupo humu kacheza kama sindi.
Kuna yule aliyekuwa mzee wake sechaba kacheza kama inspector dhlomo.
Ni balaa hii
View attachment 1831308
View attachment 1831309View attachment 1831310
View attachment 1831311
ndio mkuu Sisi tupo itv ndio maana tuko nyumaOld sana iyo, dahh alafu wote black skin
ndio mkuu Sisi tupo itv ndio maana tuko nyuma
hongera sana mkuu, natumai umeicheki hadi tamati... nawe twasubiri mrejesho wako kuhusu kifo cha xulu na yanayojiri..Leo nipo Home mapemaaa hii ya leo sitaikosa nishanunua popcorn kabisa
Nimeona hapa mmesema xulu kadedi?
Jagiya ,Vera ginger
dah nami kwa kweli leo nimeikosa nduguhongera sana mkuu, natumai umeicheki hadi tamati... nawe twasubiri mrejesho wako kuhusu kifo cha xulu na yanayojiri..
aaah aseeh pastor sasa yamemkuta aseehPastor amekamatwa akihusishwa na mauaji ya Xulu...polisi(akiwemo dhlomo na mabuza) walienda na search warant kwa pastor,akiwa na familia yake wanashangaa na kuhoji nini kinaendelea,mabuza atoa search warant na kuamuru polis waanze kusearch,wakaenda hadi kwe ofisi yake,wakapata nguo (yenye damu) ya pastor iliyofichwa kwenye kifurushi na kumkamata pastor...
Mk ndio aliyempiga,lkn kwa kuwa alikuwa kasimama na pastor na kumuangukia kabla hata hajafyatua risasi,msala upo kwakeaaah aseeh pastor sasa yamemkuta aseeh
Xulu is no more dah.. Mbona mapema sana?
So aliyemmaliza xulu ni mk au pastor?