Uzalo Special Thread

haaa makubwa haya mbna duh..
 
haaa makubwa haya mbna duh..
Nosipho nadhani upweke ulimsumbua sana akaamua kujipeleka kwa mastermind.
Master ana moyo sana aisee akamchana nosi kiroho safi kuwa yeye ni kama Dada mdogo kwake. Hivyo xulu alikuwa kama baba yake tu. Hivyo wasirudie tena..! Sipati picha ningekuwa mimi aisee
 
Yule pastor mpya anachamba kama mwanamke, mpaka mama nzuza kasepa waumini wanaongea chini chini..
Mxo alikuwa amelewa akaanza kuropoka na kumtukana ayanda, kwa sis D.
Ikabidi nombuso amnyanyue wakasepa. Halafu nao wajinga hawa wamenyanduana sema ITV wanakata mamaee zao
 
hahahahah nomaa ila mastermind anamsimamo sana.. na Nosipho ni stress tuu znamzingua
 
ilo kanisa washarika ni wanafki na huyo pastor duh japo skucheki ila ningeghadhibika kwa kweli, uyo nombu na mxo wananichosha hahahha
itv wanakatisha uhondo
 
Sanaaa zweli huwa akishikilia anashikilia, kumbuka alivyomzingua hadi pastor. Hapendagi jau juzi alitaka kumzibua ayanda na chupa ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Nosi me nampenda nyie huyu, kalikuwa kana stress tu kweli kamekaa ofisini kwa baba yake ndio master akatokea pale...
 
ilo kanisa washarika ni wanafki na huyo pastor duh japo skucheki ila ningeghadhibika kwa kweli, uyo nombu na mxo wananichosha hahahha
itv wanakatisha uhondo
Wanakera mama nzuza alimaindi yaani kakata tamaa.
Yeye na pastor wamejitolea sana kwa waumini lakini waumini wamewarushia matapishi usoni namna hii?
 
Pastor kama angetulia na family yake na kuacha kujifanya Super cop kumfatilia xulu ysingemkuta haya, mkewe anatia huruma mno huyu mama dah..
mabuza na dhlomo wamepelekana mpaka kwa commender wao ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
kweli aseh...... ๐Ÿ˜๐Ÿ˜nosi...crush!crush!๐Ÿ‘‡
Its Pancho ๐Ÿ˜œ
 
kweli yani kama ata kukata tamaa unakata na kurudi nyuma
 
Pastor kama angetulia na family yake na kuacha kujifanya Super cop kumfatilia xulu ysingemkuta haya, mkewe anatia huruma mno huyu mama dah..
mabuza na dhlomo wamepelekana mpaka kwa commender wao ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
kweli yani pastor alijicjimbia kaburi mwenyewe.... dhlomo na mabuza hahahah ni paka na panya ni full kizaizai.
 
Mimi nina interest na Leleti Khumalo tu (Sarafina).Ninasikitika namna ugonjwa wa vitiligo unamnyanyasa.
 
Yeah ugonjwa huo umepunguza ngozi yake nzuri kwa kiasi kikubwa.
Lakini bado ni mrembo sana mkuu
 
kweli aseh...... ๐Ÿ˜๐Ÿ˜nosi...crush!crush!๐Ÿ‘‡
Its Pancho ๐Ÿ˜œ
Nataka nifunge Safari mpaka kwamashu huko bondeni.
Nikamchukue nosi yupo na stress sana na ni mtiifu sana.
Nosi akinizingua nabeba sma ana rangi tamu mnoo yaani.. ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
kweli uko makini kuchagua๐Ÿ‘Œfanya himaa mkuu chaap ukaopoe๐Ÿ˜…
 
Ila yule dada anayeitwa Nombuso kaipamba sana hii tamthilia. Napenda pozi zake na jinsi alivyo na nywele fupi.
 
mxo mshenz sanaa anashindwa kutetea nafasi yake kama mtt wa kiume... et anaomba ushauri kwa mamayake mpuuzi kweli๐Ÿ˜ ๐Ÿคฌ
huyu pastor nae ni mpuuzi tu utazan anaugomv na familia ya mdlech et ayanda atolewe kwenye kwaya aseh mtcheww! ๐Ÿ˜ก
 
Huyu pastor ni mpumbavu sana anataka kuwafyeka mdletshe wote kanisani.
Na huyu MK ameanza kuonesha rangi yake halisi..
Halafu xulu hajafa nyieee..
 
mxo mshenz sanaa anashindwa kutetea nafasi yake kama mtt wa kiume... et anaomba ushauri kwa mamayake mpuuzi kweli๐Ÿ˜ ๐Ÿคฌ
huyu pastor nae ni mpuuzi tu utazan anaugomv na familia ya mdlech et ayanda atolewe kwenye kwaya aseh mtcheww! ๐Ÿ˜ก
Naona yule pastor hajui kuwa ile kwaya imefika pale ilipo kwasababu ya Ayanda na nombuso na mda si mrefu Kuna uwezekano mkubwa Nombuso akaisaliti familia ya mchungaji sababu ya mxolisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ