Wakuu kwa Wale wapenzi wa isidingo tuliipenda sana lakini hakuna kisicho na mwisho. Hivyo kwa sisi wafuatiliaji wa itv. Wameamua kutuletea tamthilia mpya ya UZALO japo sina hakika kama ni mpya kabisa ni ya muda kidogo. Kama mwaka juzi
Hivyo uzi huu ni wa kupeana update kwa Wale watakaokosa na ikiwezekana kuweka mkeka wote kiufupisho kidogo hapa. Imeanza ina kama mwezi uzuri waigizaji wa isidingo wapo humu humu. Kuna lungi wa isidingo yupo humu kacheza kama sindi.
Kuna yule aliyekuwa mzee wake sechaba kacheza kama inspector dhlomo.
Ni balaa hii
View attachment 1831308
View attachment 1831309View attachment 1831310
View attachment 1831311