Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Tatizo la sma ana tamaa sana huyu mwanamke,
Nosi ametuliaaa ila wote vishundu wanavyo, ila sma ana rangi ya mtume hivi.
Nombuso ni mke msikivu hata akinifumania atasema "Pole babe kwa kufumaniwa"..

Jikoshe tu ewe pisi kali siku utakaponasa kwa dhlomo ndio utaona haya hayana mwenyewe, 😁😁😁
Ukimzingua anakuweka selo
bhas wewe vumilia tu utawapata wote kwa mpigo...
hahahah dhlomo.... dhlomoo🤔
 
Kwamba mabuza ndio amem shoot xulu bosi wake? Maybe mkuu.
Ninachoona mabuza anahangaika xulu apone ili aanze kupata cha mkononi kama kawa.
Yule mwanamke ndio anamtibia xulu nadhani.
Ila li mabuza linapenda rushwa.
heeee mbna sielewi inamaana xulu kunakipindi alionyeshwa akiwa mzm?
nani anayefaham iyo ishu kati ya kina mabuza na mamlambo naombeni ufafanuzi
 
Siyo Mabuza aliyeua lakini mchongo mzima anaufahamu. Na yule mama Sangoma wa Xulu naye pia anahusika.

Ila yule mama sangoma ni ndumilakuwili na hawapendi familia ya pastor.
Hilo li mamlambo ni lichawi lililojificha kanisani,
Toka zamani halimpendi mke wa pastor
Sasa ndio limepata sehemu ya kumuumiza zaidi mama wa watu na wanae eti wahame wampishe pastor fake yule, hana hata aibu na domo Lake kama kipimio cha njegere..
Ndio likjifanya eti kuoteshwa kumpa alert xulu kuwa kuna tatizo kumbe nalo snitch..

Subiri apone yaani patachimbika huku dhlomo bado yuko bize.
 
heeee mbna sielewi inamaana xulu kunakipindi alionyeshwa akiwa mzm?
nani anayefaham iyo ishu kati ya kina mabuza na mamlambo naombeni ufafanuzi
Xulu alioneshwa tu akiwa amelala mahututi kwenye kanyumba fulani pamejificha,. Halafu mabuza akawa anaongea na mwanamke mmoja kuuliza anaendeleaje?
Yule mwanamke ndio amekabidhiwa uangalizi wa xulu, nadhani hii mabuza anajua huko kwa mamlambo hatujajua bado
 
mmmh, mbna patam apo.. apone haraka kwakweli maana ilo litoto lakiume apo aliwez ata kusimamia mali mjinga mmoja yule
 
Tatizo la sma ana tamaa sana huyu mwanamke,
Nosi ametuliaaa ila wote vishundu wanavyo, ila sma ana rangi ya mtume hivi.
Nombuso ni mke msikivu hata akinifumania atasema "Pole babe kwa kufumaniwa"..

Jikoshe tu ewe pisi kali siku utakaponasa kwa dhlomo ndio utaona haya hayana mwenyewe, 😁😁😁
Ukimzingua anakuweka selo
Nombuso huyu anaweza kuwa ndio Numbisa
 
mmmh, mbna patam apo.. apone haraka kwakweli maana ilo litoto lakiume apo aliwez ata kusimamia mali mjinga mmoja yule
Hilo dogo ni tahira mpaka likamuulize mama yake.
Ayanda alikuwa anamuita cheese Boy.
Kazi yake kumtafuta nombuso na kuchezeana kama sio kupigana miti.
 
Hilo dogo ni tahira mpaka likamuulize mama yake.
Ayanda alikuwa anamuita cheese Boy.
Kazi yake kumtafuta nombuso na kuchezeana kama sio kupigana miti.
ni mpuuz tu na uyo nombuso wake...uyo mxo anawaza tu malavidav akili kwenye biashara hanaa
uyu nombu nae anajiona kafika sjui kisa kaona sai mxo ndio boss
 
ni mpuuz tu na uyo nombuso wake...uyo mxo anawaza tu malavidav akili kwenye biashara hanaa
uyu nombu nae anajiona kafika sjui kisa kaona sai mxo ndio boss
Why your jealous Dada ewe..
Dhlomo yupo singo ujue 😁😁🙌🏾

Nosipho wangu yupo hapaa.
 
Why your jealous Dada ewe..
Dhlomo yupo singo ujue 😁😁🙌🏾

Nosipho wangu yupo hapaa.
Dhlomo yule yupo kiold skuli sana... nahisi ndio maana yupo single😅me kwangu hapana🙅‍♀️ yupo mmoja namngoja ili nimzoom alafu nitamtangaza kbsa
Nosi... nosi.. tulia nae huyo hutojutia👌
 
Naona kabisa mywangu nosi anaenda kutafunwa na mastermind..!
Anajilengesha sana. Malaya huyu.
Na sma kachukuliwa na Mk sijui nakwama wapi jamani..
Itabidi niende kwa Jagiya autibu moyo wangu
 
Jana ijumaa niliikuta mwisho kabisa.
Pale mastermind yupo ofisini na nosi itakuwa walipigana mate ITV wanakataga.
Ila huyu nosi kamuelewa zweli kweli au genye tu na upweke?
 
Back
Top Bottom