Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Naona kabisa mywangu nosi anaenda kutafunwa na mastermind..!
Anajilengesha sana. Malaya huyu.
Na sma kachukuliwa na Mk sijui nakwama wapi jamani..
Itabidi niende kwa Jagiya autibu moyo wangu
hahahah pole aseh nilikua nataka nikuwahi mapema nikupe pole maana umewakosa wotee sio nosi sio smaa hahahah pole sana
 
Jana ijumaa niliikuta mwisho kabisa.
Pale mastermind yupo ofisini na nosi itakuwa walipigana mate ITV wanakataga.
Ila huyu nosi kamuelewa zweli kweli au genye tu na upweke?
hapana nosi hakuwa na upweke bali alikua na hasira maana mk alimuua mpambe wa yule jamaa aliekuwa royal customer nadhan sasa mxo,mk na mamayake wanamficha sasa akaghadhabika akamfuata na mastermind nae akasema hajui vilevile,
nosi akabaki amechukia ndio master akamuita akakaa, ndio master akupoteza nafasi....akakunyang'anya tonge mdomoni😅
Its Pancho
 
Shit pumbavu sana huyu jamaa..
Hajaridhika na yule demu tipwa tipwa thobile?..
Kama vipi nihamie kwa mamlambo aniroge vizuri nimechoka.
 
😅😅ooh...pole sana i can feel your pain😔 ila mamlambo hamtawezana hataa🙅‍♀️jarbu kuvumilia atamuacha tu
 
hahahah pole aseh nilikua nataka nikuwahi mapema nikupe pole maana umewakosa wotee sio nosi sio smaa hahahah pole sana
Huu ni uonevu ngoja nivizie watagombana tu nami nawahi
Halafu mama mxo yuko singo yaan eeh nmekumbuka.. 😇😇
 
😅😅ooh...pole sana i can feel your pain😔 ila mamlambo hamtawezana hataa🙅‍♀️jarbu kuvumilia atamuacha tu
Nosi jamani dah acha nikajinyonge mie
Mamlambo achelewi kunichoma kwa li pastor nkosi
Bye bye tukutane akhera..
 
Mkuu Agogwe una mpango gani kupindua meza kubeba nombuso
Au weye ndio kama mie tumuachie Mungu?
 
Back
Top Bottom