Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
-
- #381
Ooh hapo sasa nimekuelewa mkuu..mimi kumbe sikuelewa hicho kipandeMkuu pastor hakushoot he was about to do.. Kile kivuli cha nyuma ndio kilifyatua risasi ilitokea nyuma ndio maana mwili ukamuangukia pastor.
Yeye mwenyewe pastor katika maisha yake hajawahi kushika hiyo bastola hivyo hajui hata kama alishoot.
Kuhusu kukiri hata wewe ungefanya hivyo sababu pastor ana imani kuwa ndio ameuwa lakini hana uhakika, sababu pale anaamini walikuwa wawili tu na xulu kumbe ni watatu..!
Hope umeelewa
Sma nae anamchunia kaka ake wakati janaume lake gaidiNombuso ni kichwamaji hajui anataka nini
Wanawake wa design yake kitaani wanagegedwa hovyo.. Hawana msimamo, kwa ayanda anataka na mxo anaita ita
Sasa nosipho kichwamaji mwingine nae soon ataanza kukiona cha moto kutoka kwa thobile street duger..! [emoji3][emoji3]
Hapa ndipo nachukua popcorn zangu atarudi mwenyewee..
Lipastor snitch soon ayanda analipua..
Sema ayanda ana akili sana tofauti lile toto la mama mxo.. Bure kabisa kazi kutoa mimacho hovyo.
Kuhusu swala la mk naona tuache muda uongee.. Haieleweki labda ile gun alitumia kufanyia uhalifu kwengine au kwa xulu..
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sma nae anamchunia kaka ake wakati janaume lake gaidi
[/QUOTE}
Vipesa vya mk na bata limefanya amdharau Kaka yake. Mpumbavu mlokole gani huyu?
Sma ipo siku atawekwa nyuma ya nondo kwa kosa lisilo lakenaiona akili ya xulu kwa mwanae ayanda.... nayapastor kwa mxolis hahahah like father like son (wanasemaga) uyu sma aendelee na uyo anaedhan n mpenziwe kama ajaingizwa matatani ile bisto kama ajashkishwa sjui[emoji848]
kabisa maana haoni wala hasikiiiSma ipo siku atawekwa nyuma ya nondo kwa kosa lisilo lake
anaambiwa na Kaka yake wa damu lakini anakuwa hasikii anaona kaka yake anamuonea gere. sasa tulia tuone mk ataweza mfanyia uhuni.Hahhaaha
Amemsaidia Ayanda kumshtaki Mchungaji Nkosi kwenye bodi ya kanisa!mamlahmbo
Sidhani kama ni msaada bali ndio kazi yake hiyo mkuu naye si ni mmoja wa watu wa bodi ya kanisa..?Amemsaidia Ayanda kumshtaki Mchungaji Nkosi kwenye bodi ya kanisa!
Nombuso ananikera sanaNimechoka na hizi habari za hili li nombuso
Linamuumiza mwenzie ayanda japo nae ayanda Karma inamrudia kwa nkule.. Ila sio fair karudi tena kwa mxo malaya huyu
Thobile unasubiri nini kumpa kichapo nosipho toto jinga hilo [emoji3][emoji3]
Ayanda ni xulu typical kabisa kabisa tabia zao na akili ni kama baba yake xulu. Jamaa anaipenda family yake na mama yake..
Mk anademkia watu nahisi kuna kitu sio bure..
Mama ayanda soon anakuwa pastor wetu
Pastor kakimbia utasema ana turbo miguuni.๐๐Leo li-pastor limeumbuka
[emoji23][emoji23]
Ila walimtesa inawezekana alikiri tu ili wasimuueMk kakiri kumuua Zulu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]baada ya zile allegations akaona hapa kimechacha wacha nijiokoePastor kakimbia utasema ana turbo miguuni.[emoji23][emoji23]