Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Hebu tutaje favorite character wetu kila mtu na wake. Mimi
Nosipho. ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Sma ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
MK. ๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
Ayanda. ๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
Manzunza ๐Ÿ™๐Ÿ™
Zweli.. ๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
Dhlomo. ๐Ÿ‘ฎ๐Ÿ‘ฎ

Hawa nawakubali sanaaa..
Mxo na nombuso, mamlahmbo, pastor nkosi, GC, nawamaindi kinoma.๐Ÿ˜ˆ๐Ÿ˜ˆ

Hawa wako katikati wanafurahisha tu.
Mabuza.๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Captain..๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

Vita ya dhlomo na mabuza haitokuja kuisha labda malaika ashuke. ๐Ÿ˜๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
 
Mkuu pastor hakushoot he was about to do.. Kile kivuli cha nyuma ndio kilifyatua risasi ilitokea nyuma ndio maana mwili ukamuangukia pastor.
Yeye mwenyewe pastor katika maisha yake hajawahi kushika hiyo bastola hivyo hajui hata kama alishoot.

Kuhusu kukiri hata wewe ungefanya hivyo sababu pastor ana imani kuwa ndio ameuwa lakini hana uhakika, sababu pale anaamini walikuwa wawili tu na xulu kumbe ni watatu..!

Hope umeelewa
Ooh hapo sasa nimekuelewa mkuu..mimi kumbe sikuelewa hicho kipande
 
Nombuso ni kichwamaji hajui anataka nini
Wanawake wa design yake kitaani wanagegedwa hovyo.. Hawana msimamo, kwa ayanda anataka na mxo anaita ita
Sasa nosipho kichwamaji mwingine nae soon ataanza kukiona cha moto kutoka kwa thobile street duger..! ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Hapa ndipo nachukua popcorn zangu atarudi mwenyewee..

Lipastor snitch soon ayanda analipua..
Sema ayanda ana akili sana tofauti lile toto la mama mxo.. Bure kabisa kazi kutoa mimacho hovyo.

Kuhusu swala la mk naona tuache muda uongee.. Haieleweki labda ile gun alitumia kufanyia uhalifu kwengine au kwa xulu..
๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Nombuso ni kichwamaji hajui anataka nini
Wanawake wa design yake kitaani wanagegedwa hovyo.. Hawana msimamo, kwa ayanda anataka na mxo anaita ita
Sasa nosipho kichwamaji mwingine nae soon ataanza kukiona cha moto kutoka kwa thobile street duger..! [emoji3][emoji3]

Hapa ndipo nachukua popcorn zangu atarudi mwenyewee..

Lipastor snitch soon ayanda analipua..
Sema ayanda ana akili sana tofauti lile toto la mama mxo.. Bure kabisa kazi kutoa mimacho hovyo.

Kuhusu swala la mk naona tuache muda uongee.. Haieleweki labda ile gun alitumia kufanyia uhalifu kwengine au kwa xulu..
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sma nae anamchunia kaka ake wakati janaume lake gaidi
 
naiona akili ya xulu kwa mwanae ayanda.... nayapastor kwa mxolis hahahah like father like son (wanasemaga) uyu sma aendelee na uyo anaedhan n mpenziwe kama ajaingizwa matatani ile bisto kama ajashkishwa sjui๐Ÿค”
 
naiona akili ya xulu kwa mwanae ayanda.... nayapastor kwa mxolis hahahah like father like son (wanasemaga) uyu sma aendelee na uyo anaedhan n mpenziwe kama ajaingizwa matatani ile bisto kama ajashkishwa sjui[emoji848]
Sma ipo siku atawekwa nyuma ya nondo kwa kosa lisilo lake
 
Ayanda kampeleka mchungaji Nkosi kwenye bodi ya kanisa akiwa na ushahidi uliotimilika.Naona kibarua Cha mchungaji kinaenda kuota nyasi!
 
Amemsaidia Ayanda kumshtaki Mchungaji Nkosi kwenye bodi ya kanisa!
Sidhani kama ni msaada bali ndio kazi yake hiyo mkuu naye si ni mmoja wa watu wa bodi ya kanisa..?

Alitakiwa afanye hivyo angekataa vipi?
 
Nimechoka na hizi habari za hili li nombuso
Linamuumiza mwenzie ayanda japo nae ayanda Karma inamrudia kwa nkule.. Ila sio fair karudi tena kwa mxo malaya huyu
Thobile unasubiri nini kumpa kichapo nosipho toto jinga hilo ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Ayanda ni xulu typical kabisa kabisa tabia zao na akili ni kama baba yake xulu. Jamaa anaipenda family yake na mama yake..

Mk anademkia watu nahisi kuna kitu sio bure..
Mama ayanda soon anakuwa pastor wetu
 
Nimechoka na hizi habari za hili li nombuso
Linamuumiza mwenzie ayanda japo nae ayanda Karma inamrudia kwa nkule.. Ila sio fair karudi tena kwa mxo malaya huyu
Thobile unasubiri nini kumpa kichapo nosipho toto jinga hilo [emoji3][emoji3]

Ayanda ni xulu typical kabisa kabisa tabia zao na akili ni kama baba yake xulu. Jamaa anaipenda family yake na mama yake..

Mk anademkia watu nahisi kuna kitu sio bure..
Mama ayanda soon anakuwa pastor wetu
Nombuso ananikera sana
 
Back
Top Bottom