Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah mkuu usitusimulie bwana acha tutaona jumatatu mkuu,Inakoelekea ni pa🔥 sana nimeona mxo na master mind wametoa kipigo cha mbwa koko kwa Mk mpaka yy mwenyewe amekili ndo amemua brother ake.....
Hahaha haina noma.Aah mkuu usitusimulie bwana acha tutaona jumatatu mkuu,
Wale waliosemaga ni mbaya naona wanajileta wenyewe kuangalia 😀😀
Mk fala sana
Itakuwa aliyomshoot Zulunilichosema kimetimia kuhusu huyu kichwamaji nombuso.. li pasta limefanya kweli..
Zweli na MK soon watazichapa..
Halafu MK alienda kufukua bastola ile sijui aliitumia kumshoot nani? Mambo sio mchezo.
Huyu nosi nataka nimpe talaka tatu nina moyo mie [emoji1487][emoji1487]
Nimecheka sana Noph alipomjibu Zweli kuhusu demu wake kama chizi apelekwe kuna hospital kaitaja nahisi dizini ya mirembenilichosema kimetimia kuhusu huyu kichwamaji nombuso.. li pasta limefanya kweli..
Zweli na MK soon watazichapa..
Halafu MK alienda kufukua bastola ile sijui aliitumia kumshoot nani? Mambo sio mchezo.
Huyu nosi nataka nimpe talaka tatu nina moyo mie [emoji1487][emoji1487]
Weeee lini? mbona sijaionaInakoelekea ni pa[emoji91] sana nimeona mxo na master mind wametoa kipigo cha mbwa koko kwa Mk mpaka yy mwenyewe amekili ndo amemua brother ake.....
Natamani nijue zile karatasi alizochukua Ayanda zinahusu nini?Pastor muhuni yule..hata hiyo nyumba ya Mdletche ameichukia kuhuni huni tu
Ila Mkhontho hakumuua Gxabhashe mkuuInakoelekea ni pa[emoji91] sana nimeona mxo na master mind wametoa kipigo cha mbwa koko kwa Mk mpaka yy mwenyewe amekili ndo amemua brother ake.....
Anajifanya nunda wakati wa kishuaNimecheka sana Noph alipomjibu Zweli kuhusu demu wake kama chizi apelekwe kuna hospital kaitaja nahisi dizini ya mirembe
Hata mimi nahisi hivyo hisia zangu zinanituma ni mabuza na crew yake labda wali organize.Ila Mkhontho hakumuua Gxabahashe mkuu
Kweli hata mimi MK namkubali sana hawezi kukugusa mpaka uguse maslahi yake.Hahaha haina noma.
mk. Mi namkubal sana hasa kwa unkok wake.
Mzinguaj ni upara nambuso anatakiwa apigwe mande hana msimamo na mxolis linadeka sana hil jamaa
Itakuwa kweli hii tamthilia wana akili sana wanakupa matukio kiasi kwamba inakuwa ngumu kwetu kutabiri..Itakuwa aliyomshoot Zulu
Hajijui kama watu wanampeleleza
Sisi wenyewe hatujui ni nani?Ila Mkhontho hakumuua Gxabahashe mkuu
Mimi kuna kupande niliona Mdletche akimshoot maana alikutna Naye hiyo siku akmwambia leo nakuua wewe ndie umesababisha kitana wangu anateseka. Halafu siku hiyo hiyo MaNzuza alikutana Naye akamwambia una furaha sasa mtoto wangu anavyoteseka? Ndiyo the same day akapigwa risasi. Halafu hakufa kuna kipande kilionesha zkiwa ana majeraha ya risasi kifuani akiwa amefichwa na mabuza. So hata yule waliyemzika huko kijijini siyo Xulu.Hata mimi nahisi hivyo hisia zangu zinanituma ni mabuza na crew yake labda wali organize.
Mxolisi kuku wa kizungu yule.. wa hovyo hovyo sanaKweli hata mimi MK namkubali sana hawezi kukugusa mpaka uguse maslahi yake.
Hata hizo mali mxo anazotambia MK ndio ameji sacrifice ili Kaka yake alee family...
Jamaa toka ampate sma ametulia kinoma.
Nombuso hilo ni kichwa maji na upara wake siku hizi ananiboa..
Eti wenzake wamehama nyuma baada ya kuzinguliwa na pastor, yeye kaomba abaki..! Anataka nini sasa kama sio kunyengwa? Halafu anajiimbisha mbele ya pastor.. Kwa hili jambazi nkosi nimemkubali..
Li mxo linashikiwa akili hamna kitu kichwani mpaka limuulize mama yake kila kitu.. Bogus, hiyo nafasi angepata ayanda angekuwa mbali ana akili sana..
Halafu wakat anaifukua Mastermind alimuonanilichosema kimetimia kuhusu huyu kichwamaji nombuso.. li pasta limefanya kweli..
Zweli na MK soon watazichapa..
Halafu MK alienda kufukua bastola ile sijui aliitumia kumshoot nani? Mambo sio mchezo.
Huyu nosi nataka nimpe talaka tatu nina moyo mie [emoji1487][emoji1487]
No Pastor hausiki na kifo cha Xulu,Mind you siku Xulu anapigwa risasi alikuwa na Pastor kwenye parking ya magari na kwa mbali kilioneka kivuli cha mtu akitoweka kwahiyo Kuna uwezekano mkubwa muuaji akawa either Mkontho or SBU and by the way Kama muuaji akiwa Mabuza itabidi nishangae Sana.Mimi kuna kupande niliona Mdletche akimshoot maana alikutna Naye hiyo siku akmwambia leo nakuua wewe ndie umesababisha kitana wangu anateseka. Halafu siku hiyo hiyo MaNzuza alikutana Naye akamwambia una furaha sasa mtoto wangu anavyoteseka? Ndiyo the same day akapigwa risasi. Halafu hakufa kuna kipande kilionesha zkiwa ana majeraha ya risasi kifuani akiwa amefichwa na mabuza. So hata yule waliyemzika huko kijijini siyo Xulu.
Sasa mkuu pastor anahusika na alivyomshoot Xulu, Xulu Alimdondokea ndiyo maana tshirt ya pastor ilibaki na damu.No Pastor hausiki na kifo cha Xulu,Mind you siku Xulu anapigwa risasi alikuwa na Pastor kwenye parking ya magari na kwa mbali kilioneka kivuli cha mtu akitoweka kwahiyo Kuna uwezekano mkubwa muuaji akawa either Mkontho or SBU and by the way Kama muuaji akiwa Mabuza itabidi nishangae Sana.
Mkuu pastor hakushoot he was about to do.. Kile kivuli cha nyuma ndio kilifyatua risasi ilitokea nyuma ndio maana mwili ukamuangukia pastor.Sasa mkuu pastor anahusika na alivyomshoot Xulu, Xulu Alimdondokea ndiyo maana tshirt ya pastor ilibaki na damu.
Halafu wakati msiba unaendelea kule home kwa Gxabhashe pastor alienda kanisani kutubu kwakumuua Gxabhashe. Unakumbuka hicho kipande?
Mimi kuna kupande niliona Mdletche akimshoot maana alikutna Naye hiyo siku akmwambia leo nakuua wewe ndie umesababisha kitana wangu anateseka. Halafu siku hiyo hiyo MaNzuza alikutana Naye akamwambia una furaha sasa mtoto wangu anavyoteseka? Ndiyo the same day akapigwa risasi. Halafu hakufa kuna kipande kilionesha zkiwa ana majeraha ya risasi kifuani akiwa amefichwa na mabuza. So hata yule waliyemzika huko kijijini siyo Xulu.