Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Inakoelekea ni pa🔥 sana nimeona mxo na master mind wametoa kipigo cha mbwa koko kwa Mk mpaka yy mwenyewe amekili ndo amemua brother ake.....
 
Aah mkuu usitusimulie bwana acha tutaona jumatatu mkuu,
Wale waliosemaga ni mbaya naona wanajileta wenyewe kuangalia 😀😀
Mk fala sana
 
Hahaha haina noma.

mk. Mi namkubal sana hasa kwa unkok wake.

Mzinguaj ni upara nambuso anatakiwa apigwe mande hana msimamo na mxolis linadeka sana hil jamaa
 
nilichosema kimetimia kuhusu huyu kichwamaji nombuso.. li pasta limefanya kweli..
Zweli na MK soon watazichapa..
Halafu MK alienda kufukua bastola ile sijui aliitumia kumshoot nani? Mambo sio mchezo.

Huyu nosi nataka nimpe talaka tatu nina moyo mie [emoji1487][emoji1487]
Itakuwa aliyomshoot Zulu
Hajijui kama watu wanampeleleza
 
Nimecheka sana Noph alipomjibu Zweli kuhusu demu wake kama chizi apelekwe kuna hospital kaitaja nahisi dizini ya mirembe
 
Anajifanya nunda wakati wa kishua
Subiri sasa thobile amkute, na chizi kweli katakavyozabuliwa.
Watu tupo ila chenyewe kanashikilia waume za watu.. 😀
 
Hahaha haina noma.

mk. Mi namkubal sana hasa kwa unkok wake.

Mzinguaj ni upara nambuso anatakiwa apigwe mande hana msimamo na mxolis linadeka sana hil jamaa
Kweli hata mimi MK namkubali sana hawezi kukugusa mpaka uguse maslahi yake.
Hata hizo mali mxo anazotambia MK ndio ameji sacrifice ili Kaka yake alee family...
Jamaa toka ampate sma ametulia kinoma.
Nombuso hilo ni kichwa maji na upara wake siku hizi ananiboa..
Eti wenzake wamehama nyuma baada ya kuzinguliwa na pastor, yeye kaomba abaki..! Anataka nini sasa kama sio kunyengwa? Halafu anajiimbisha mbele ya pastor.. Kwa hili jambazi nkosi nimemkubali..

Li mxo linashikiwa akili hamna kitu kichwani mpaka limuulize mama yake kila kitu.. Bogus, hiyo nafasi angepata ayanda angekuwa mbali ana akili sana..
 
Itakuwa aliyomshoot Zulu
Hajijui kama watu wanampeleleza
Itakuwa kweli hii tamthilia wana akili sana wanakupa matukio kiasi kwamba inakuwa ngumu kwetu kutabiri..
MK ana mbwembwe sana muhuni huyu na afro lake kichwani halafu viatu ni vile vile daily.. Kazi kumuhonga mlokole malaya sma..
 
Hata mimi nahisi hivyo hisia zangu zinanituma ni mabuza na crew yake labda wali organize.
Mimi kuna kupande niliona Mdletche akimshoot maana alikutna Naye hiyo siku akmwambia leo nakuua wewe ndie umesababisha kitana wangu anateseka. Halafu siku hiyo hiyo MaNzuza alikutana Naye akamwambia una furaha sasa mtoto wangu anavyoteseka? Ndiyo the same day akapigwa risasi. Halafu hakufa kuna kipande kilionesha zkiwa ana majeraha ya risasi kifuani akiwa amefichwa na mabuza. So hata yule waliyemzika huko kijijini siyo Xulu.
 
Kweli hata mimi MK namkubali sana hawezi kukugusa mpaka uguse maslahi yake.
Hata hizo mali mxo anazotambia MK ndio ameji sacrifice ili Kaka yake alee family...
Jamaa toka ampate sma ametulia kinoma.
Nombuso hilo ni kichwa maji na upara wake siku hizi ananiboa..
Eti wenzake wamehama nyuma baada ya kuzinguliwa na pastor, yeye kaomba abaki..! Anataka nini sasa kama sio kunyengwa? Halafu anajiimbisha mbele ya pastor.. Kwa hili jambazi nkosi nimemkubali..

Li mxo linashikiwa akili hamna kitu kichwani mpaka limuulize mama yake kila kitu.. Bogus, hiyo nafasi angepata ayanda angekuwa mbali ana akili sana..
Mxolisi kuku wa kizungu yule.. wa hovyo hovyo sana
 
nilichosema kimetimia kuhusu huyu kichwamaji nombuso.. li pasta limefanya kweli..
Zweli na MK soon watazichapa..
Halafu MK alienda kufukua bastola ile sijui aliitumia kumshoot nani? Mambo sio mchezo.

Huyu nosi nataka nimpe talaka tatu nina moyo mie [emoji1487][emoji1487]
Halafu wakat anaifukua Mastermind alimuona
[emoji2]
 
Mimi kuna kupande niliona Mdletche akimshoot maana alikutna Naye hiyo siku akmwambia leo nakuua wewe ndie umesababisha kitana wangu anateseka. Halafu siku hiyo hiyo MaNzuza alikutana Naye akamwambia una furaha sasa mtoto wangu anavyoteseka? Ndiyo the same day akapigwa risasi. Halafu hakufa kuna kipande kilionesha zkiwa ana majeraha ya risasi kifuani akiwa amefichwa na mabuza. So hata yule waliyemzika huko kijijini siyo Xulu.
No Pastor hausiki na kifo cha Xulu,Mind you siku Xulu anapigwa risasi alikuwa na Pastor kwenye parking ya magari na kwa mbali kilioneka kivuli cha mtu akitoweka kwahiyo Kuna uwezekano mkubwa muuaji akawa either Mkontho or SBU and by the way Kama muuaji akiwa Mabuza itabidi nishangae Sana.
 
Sasa mkuu pastor anahusika na alivyomshoot Xulu, Xulu Alimdondokea ndiyo maana tshirt ya pastor ilibaki na damu.
Halafu wakati msiba unaendelea kule home kwa Gxabhashe pastor alienda kanisani kutubu kwakumuua Gxabhashe. Unakumbuka hicho kipande?
 
Mkuu pastor hakushoot he was about to do.. Kile kivuli cha nyuma ndio kilifyatua risasi ilitokea nyuma ndio maana mwili ukamuangukia pastor.
Yeye mwenyewe pastor katika maisha yake hajawahi kushika hiyo bastola hivyo hajui hata kama alishoot.

Kuhusu kukiri hata wewe ungefanya hivyo sababu pastor ana imani kuwa ndio ameuwa lakini hana uhakika, sababu pale anaamini walikuwa wawili tu na xulu kumbe ni watatu..!

Hope umeelewa
 
Back
Top Bottom