Uzalo Special Thread

Jamani muwe mnatusifia na sisi mahendisamu huoni avatar yangu hapo zweli namuacha mbali.. (joke)
Jamaa wanamgombania thobile haachii,
Kwanzia sasa mmekuwa watatu wewe,nosi,thobile, tuone mshindi atatangazwa msikitini au kanisani.
Hahhaaa mimi namsifia tu lkn napenda Zulu mafia
Hlf hivi kwanini wasouth wengi wanamakalio makubwa
Haujalishi ke au me
Chunguza hata waigizaji mfano,Lincon,mastermind,mxo,sechaba nk
Wanawake ndio usiseme
 
Sijajua ni nani labda mxo au mtu mwengine kabisa tusiyemjua.
Alitekwa na Mxo na akalala naye usiku kucha, asubuhi pale Nombuso alipokuwa anatafutwa na Ayanda kwa surprise wedding waliondoka na Mxo ili akamwambie ukweli. Walipofika kule Church ambako walikubaliana wakutane wakakuta tayari harusi imeandaliwa na mpaka aunty kutoka kijijini amealikwa, hapo ndiyo Nombuso alichanganyikiwa kabisa lakini mwisho alikubali kuolewa na Ayanda.
 
Ayanda na Mxolisi wamezishapa church πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
Yaani Mxo alimuadhirisha Ayanda kwa kumwambia kuwa yeye anamjua zaidi huyo mke wake kuliko Ayanda, ndio hapo uzalendo ulipomshinda.
Na Ayanda alishituka kwamba kumbe Nombuso alikwenda kulala na Mxo siku moja kabla ya harusi.
 
Usitueleze vya mbele bwana unatukwaza.
 
Hahhaaa mimi namsifia tu lkn napenda Zulu mafia
Hlf hivi kwanini wasouth wengi wanamakalio makubwa
Haujalishi ke au me
Chunguza hata waigizaji mfano,Lincon,mastermind,mxo,sechaba nk
Wanawake ndio usiseme
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ujue ni kweli kabisa
Naskia huko south ulaji wa nyama sana ndio umechangia kwa kiasi kikubwa kuwa na makalio kwa wanaume aka inye..

Lincoln alikuwa na inye lakini mwili wake mnene kidogo, mxo ndio kabisa hapendezi yaani chura kubwa kuliko ya demu wangu,,
Zweli naye pia anayo na ayanda aseeh πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sijui madem zao huwa wanayashika?
 
Nadhani Ayanda ameshalainika sasa wakuu πŸ˜€πŸ˜€
 
Nadhani Mxo hamjui vizuri SBU hahahaa jamaa ni bonge la snitch na mtu pekee anayemfahamu vizuri SBU ni Mastermind ni jambo la mda tu Mxo atalia.
 
Wee mwehu eeh[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naipata wapi hii tamthilia kwa episodes zake za nyuma/mwanzo!?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…