Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

kwa ule mwendo wa yule alievaa mask pale alipo mnyang'anya thobile pochi inaonyesha kabisa ni Mk..... kwa nnavyoona hapa mk anawasomea mchezo tu familia na biashara ya ghabashe. .
 
Leo mambo yameendaje? Nimekosa episode ya leo. Walio cheki nipatieni information nini kiliendelea baada ya Milo wa risasi.
 
Hebu tujuzeni kilichoendela leo yule mwenye kinyago ni nani?
Ni mk? Nini kilifuata baada ya risasi?

Nombuso bado anaringa ringa malaya yule?
 
leo asubuhi nipo Home tu nimeipata.
Ayanda na nombu bado ni yale yale.
Mk alienda kwa kina sma ana jeraha la risasi aliyopigwa na zweli. Ila mzigo amechukua wote.

Mk shida yake ni kuiangusha empire ya xulu yote.
Na lile jamaa lenye nongoloza lililowakopa pesa kina mxo linadai hela yake. Lilimuua mtu pale pale.

Sbu sasa katulia jamaa angu, zweli na nosi inabidi warudishe fedha waliyopoteza,
Sbu saivi anachomekea.. 😀😀😀

NB: siku nyingine mmoja awe anawahi kurudi Home tuepushe kadhia ndogo ndogo kama hizi.
 
mwanangu sbu namkubali sana muhuni huyu, 😀😀💪💪
 
Mwenye mask ni mk alishutiwa na zweli akakimbilia kwa smaa kumsaidia akamweleza lengo lake ni kuiangamiza empire ya xulu. . .
Zweli na nosi wanapoteza mzigo na kupata shot kwenye pesa hawajui chakufanya.. mxo na zweli wanajaribu kumfata shark lord kuongea nae ila walichokikuta waliishiwa neno kwani.. alikua katota damu kwakua alikuaa anamshushia kipigo alieshindwa kulipa deni
Nosi akiwa baa na zweli anamzihaki ayanda kwa kitendo cha kumuoa nombuso na kumpiga mxo akiwa mlevi
Uyu sbu ni snitch inaonyesha anawauza kina mxo kwa mk maana jamaa anaonyesha hana stress kwa yote yanayoendelea
Mtoto wa Baba Its Pancho Kool the gang
 
leo asubuhi nipo Home tu nimeipata.
Ayanda na nombu bado ni yale yale.
Mk alienda kwa kina sma ana jeraha la risasi aliyopigwa na zweli. Ila mzigo amechukua wote.

Mk shida yake ni kuiangusha empire ya xulu yote.
Na lile jamaa lenye nongoloza lililowakopa pesa kina mxo linadai hela yake. Lilimuua mtu pale pale.

Sbu sasa katulia jamaa angu, zweli na nosi inabidi warudishe fedha waliyopoteza,
Sbu saivi anachomekea.. 😀😀😀

NB: siku nyingine mmoja awe anawahi kurudi Home tuepushe kadhia ndogo ndogo kama hizi.
safi sana kiongozi😂😂😂kweli aseh inabidi tuwahi
 
Dah mk muhun sana kaingia mpaka Store ya unga na sbu ndo kamleta halafu akapigwa roba mpaka kazima 😀😀

Dhlomo yuko karibu lazima mk au Kina zweli wadakwe.
Nkosinathi kaanza kuwa teja.

Ayanda na nosi bado hali tete,
 
Back
Top Bottom