leo asubuhi nipo Home tu nimeipata.
Ayanda na nombu bado ni yale yale.
Mk alienda kwa kina sma ana jeraha la risasi aliyopigwa na zweli. Ila mzigo amechukua wote.
Mk shida yake ni kuiangusha empire ya xulu yote.
Na lile jamaa lenye nongoloza lililowakopa pesa kina mxo linadai hela yake. Lilimuua mtu pale pale.
Sbu sasa katulia jamaa angu, zweli na nosi inabidi warudishe fedha waliyopoteza,
Sbu saivi anachomekea.. πππ
NB: siku nyingine mmoja awe anawahi kurudi Home tuepushe kadhia ndogo ndogo kama hizi.