Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
-
- #621
Nombuso hakutoa mimba Bali ile kupima DNA alikolazimishwa na Ayanda ndio ilisababisha mimba kutoka!Ili linombuso litakuwa limetoa mimba haiwezi kutoka yenyewe tu..
Yaani ana laana huyu nyau, kudadeki.
Ayanda jamaa anapata shida sana yaani nadhani anamkumbuka nkule sana kaoa mshamba wa jiji na kilaza kila wanaloongea ndani ya ndoa anaenda kuwaambia kina thobile dah.
Nosi na ayanda soon wananyanduana..
Xulu na midevu aseeh dah ππ
hapana anasingizia tuNombuso hakutoa mimba Bali ile kupima DNA alikolazimishwa na Ayanda ndio ilisababisha mimba kutoka!
Ile mimba imetoka baada ya kupima DNA kwa ile njia iliyotumika. Katika uhalisia wa maisha huwa wamama wanashauriwa kutokupima DNA wakati mtoto akiwa tumboni, ni mpaka baada ya kujifungua kwa vile ni high risk na mimba inaweza kuharibika.hapana anasingizia tu
Mbona wangapi wanapima DNA na hazitoki. Tena changa vilee?
Sasa kapata njia ya kumpelekesha ayanda
SUBIRI MPAKA JUMAPILIMe jana nimeikosa na leo marudio nimekosa, roho inaniuma sana[emoji16]
sasa nimeelewa nilikuwa najua DNA inapimwa hata mtoto akiwa tumboni pia.Ile mimba imetoka baada ya kupima DNA kwa ile njia iliyotumika. Katika uhalisia wa maisha huwa wamama wanashauriwa kutokupima DNA wakati mtoto akiwa tumboni, ni mpaka baada ya kujifungua kwa vile ni high risk na mimba inaweza kuharibika.
Na ile mimba siyo changa sana maana ni ya yule Mxo ijapokuwa amemkomalia Ayanda.
Ila kwa sasa mzigo wote ameangushiwa Ayanda hasa baada ya kumlazimisha kusema hadharani madhambi yake kule kanisani, halafu na mimba kuharibika.
Yupo real kiajeJmn Ayanda ananiudhi sana. Nambuso yuko real sana
Anampenda ayanda, and yuko taarifa ku build ndoa yao sema ayanda ndo anamawengeYupo real kiaje
shida ni kuwa unaegemea upande.Jmn Ayanda ananiudhi sana. Nambuso yuko real sana
Hivi ungekuwa hata wewe ungekubali kulea mtoto sio wako?Anampenda ayanda, and yuko taarifa ku build ndoa yao sema ayanda ndo anamawenge
Jumapili hakuna mkuu, hicho kipande ndio kimenipita hivoSUBIRI MPAKA JUMAPILI
Nimefuatilia toka mwanzo. Lkn naomba msamaha kila siku. Ananiudhi sana ayandaHivi ungekuwa hata wewe ungekubali kulea mtoto sio wako?
Siku ya ndoa mtu katoka kunyanduliwa usiku kucha kaja na janaba kanisani utaoa?
Nadhani labda hukufuatilia vizuri nombuso anampenda ayanda?[emoji849][emoji849]
Sawa mkuu kila mtu na character yake kama unaona nombuso yuko sawa. Ni vizuriNimefuatilia toka mwanzo. Lkn naomba msamaha kila siku. Ananiudhi sana ayanda
Unazungumziaje kurudi kwa khabasheSawa mkuu kila mtu na character yake kama unaona nombuso yuko sawa. Ni vizuri
Safi sana wamefanya la maanaUnazungumziaje kurudi kwa khabashe
Jmn Nambuso wangu[emoji24][emoji24]Safi sana wamefanya la maana
Xulu karudi yupo na anafatilia mambo mengi hasa kuhusu mdogo wake mk mwenendo wake,
Kwa sasa hajitokezi ila nina imani soon atakiwasha hadharani..
Itakuwa khabashe[emoji1]