Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Jmn Nambuso wangu[emoji24][emoji24]
Kumbe ni mahaba yako eeh mna undugu.? Huyo mdogo wako si alijifanya kunikataa nilimpomtokea?

Cha moto anakiona 😀😀
 
Kumbe ni mahaba yako eeh mna undugu.? Huyo mdogo wako si alijifanya kunikataa nilimpomtokea?

Cha moto anakiona [emoji3][emoji3]
Niachie nambuso wangu, sasa kwann kila anae Jua siri anakufa..wanaextend sasa na wenyewe
 
Back
Top Bottom