Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Sawa sawa haya niambie sasa ilikuwaje na nombuso alipigwa shaba akiwa wapi
Nambuso kashajua ukweli kuhusu wazazi wa wakina ayanda, so akat anaenda kumwambia Xulu sijui Jina lake ndo kapigwa risasi. Pia ayanda na dada ake wamegegedana kanisani
 
Akiwa kwenye eneo la biashra ya akina mxo akisimlia kuhusu mimba kutoka. Na alimwambia mxo kuwa mimba ilikuwa yake. Mxo alijaa upepo sana akafikia kumtimua pale. Nombuso alitska kumwambia ukweli kuhusu yeye (Mxo) na Ayanda ndo akapigwa risasi.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
hayaa wadau naona huku panazidi kunoga au sio? Its Pancho
Naskia mambo ni noma mkuu wangu leo nimeambiwa hapa eti yule kigagula nombuso katandikwa risasi..!

Ubaya leo nimeikosa sasa natafuta mtu wa kunipa update hapa vipi wewe leo?
 
Akiwa kwenye eneo la biashra ya akina mxo akisimlia kuhusu mimba kutoka. Na alimwambia mxo kuwa mimba ilikuwa yake. Mxo alijaa upepo sana akafikia kumtimua pale. Nombuso alitska kumwambia ukweli kuhusu yeye (Mxo) na Ayanda ndo akapigwa risasi.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Mhhh aseeh mkuu mbona inatia mashaka sana sasa nani ndio nani kashoot? Tuseme ni ayanda sababu ya wivu?
Hili linombuso halinaga akili kabisa sasa lilienda kwa mxo ili iweje ikiwa lilimwambia mxo A stay away nae?

Afe tu mbwa huyu kama vipi. Jagiya
 
Naskia mambo ni noma mkuu wangu leo nimeambiwa hapa eti yule kigagula nombuso katandikwa risasi..!

Ubaya leo nimeikosa sasa natafuta mtu wa kunipa update hapa vipi wewe leo?
huyo ata aniumiz kichwa.... leo nimetoka kapa masaa yanavyokimbia nakuja kushtuka saa 2 hiyo apo..
 
Mhhh aseeh mkuu mbona inatia mashaka sana sasa nani ndio nani kashoot? Tuseme ni ayanda sababu ya wivu?
Hili linombuso halinaga akili kabisa sasa lilienda kwa mxo ili iweje ikiwa lilimwambia mxo A stay away nae?

Afe tu mbwa huyu kama vipi. Jagiya
kabisaaaa laana zimeanza fanya kazi afee tu hatuna msaada nae huyo
 
Mhhh aseeh mkuu mbona inatia mashaka sana sasa nani ndio nani kashoot? Tuseme ni ayanda sababu ya wivu?
Hili linombuso halinaga akili kabisa sasa lilienda kwa mxo ili iweje ikiwa lilimwambia mxo A stay away nae?

Afe tu mbwa huyu kama vipi. Jagiya
Kumbe Ayanda alikuwa sahihi. Mimba ilikuwa ya Mxo. Kuhusu Ayanda kumtandika risasi siyo kabisa. Kumbuka wakati anatandikwa risasi Ayanda na Nos ndo walikuwa wanamaliza kvunja amri ya 7

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Nambuso kashajua ukweli kuhusu wazazi wa wakina ayanda, so akat anaenda kumwambia Xulu sijui Jina lake ndo kapigwa risasi. Pia ayanda na dada ake wamegegedana kanisani
Kajua kuhusu wazazi wa ukweli wa ayanda? Alijuaje?
Huyu demu alitaka kujifanya queen wa kwa mashu
Let her die.. 🙌🏾🙌🏾
 
Sielewi zile nyaraka za hospital kuhusu uhalisia wa wazazi wa Ayanda na Mxo Nombuso alizipata wapi, maana ndo alizomaliza kusoma tu ile anataka kuanika ukweli akatandikwa risasi.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
weweee asubuhi ya jumamosi au ya jpili
Yasni mkuu kila wanapoonesha jioni kesho yake asubuhi wanarudia saa 3 hivi episode ya jana yake.
Achana na marudio ya week nzima jmosi usiku na jpili asubuhi
Vizia hata kesho utaona
 
Back
Top Bottom