Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Sielewi zile nyaraka za hospital kuhusu uhalisia wa wazazi wa Ayanda na Mxo Nombuso alizipata wapi, maana ndo alizomaliza kusoma tu ile anataka kuanika ukweli akatandikwa risasi.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Nadhani ule mfuko labda ulikuwa wa marehemu dada yake, maana kwanza alitoa ile picha ya 'Lungi' akaiangalia baadae ndiyo akaanza kusoma zile documents za hospitali.
 
Namsalaundia mamlambo katibu wa kanisa na mchawi mganga mkubwa yule ili aniroge nimpende na anipe limbwata.
Ila usimuache dhlomo plz mzee wa watu mnapendana 😀😀
mamlambo kweli apo panafaa maana atakulea kabisaa😅
Dhlomo... ngoja nimpe nafas nyingne
 
Si alinikataaga huyu akaenda kwa master? Tena na kunisuta na kunichamba juu? Kuwa amechoka kuwa na mimi muuza samaki?.

Sasa ameanza kukitembeza kwa brother wake wa damu!..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kama vipi ma mlahmbo si yuko singo?
[emoji2][emoji2]
 
Sijui itakuwaje siku akitambua ni kaka yake.

Naona amemuogopa girlfriend wa Zweli maana yule eti anajifanya very possessive, lakini liZweli lenyewe wala halijali.
Yule binti yupo lonely inaelekea anahitaji furaha lkn hajui kwa njia gani,ndio anajikuta analala na wanaume hovyo,maana hii tabia imeanza baada ya kifo fake cha zulu
 
Naona wengi mnafatilia matukio bila kuangalia story yenyewe, aunt yake Nombuso wakati anaondoka alimkabidhi begi la dada yake huku akimwambia hajawahi kulifungua inawezekana dada yake Kuna kitu amemwachia.
 
Naona wengi mnafatilia matukio bila kuangalia story yenyewe, aunt yake Nombuso wakati anaondoka alimkabidhi begi la dada yake huku akimwambia hajawahi kulifungua inawezekana dada yake Kuna kitu amemwachia.
Kwahiyo mkuu sisi tulikuwa vipofu ama?
Hiyo ITV hatujawahi kuona hicho kipande zaidi ya pale nombu alipkuwa anamsindikiza mama yao huyo basi likaja tangazo .
 
Sio wewe tu
Tunaoifatilia kupitia ITV hatujawahi kuona kitu kama hicho aseeh. Eti Jagiya uliona hiyo?
Kwa wewe inawezekana uliona ila hukuelewa, nimeona unahoji kuhusu dna wakati wakionyesha kabisa kabla ya Nombuso kufanyiwa vipimo Dk aliwaonya kabisa na kushauri dna ifanyike baada ya mtoto kuzaliwa lakini Ayanda akang'ang'ania
 
Kwa wewe inawezekana uliona ila hukuelewa, nimeona unahoji kuhusu dna wakati wakionyesha kabisa kabla ya Nombuso kufanyiwa vipimo Dk aliwaonya kabisa na kushauri dna ifanyike baada ya mtoto kuzaliwa lakini Ayanda akang'ang'ania
Hata hapo pia sikuona pia
Nilikuta ile juzi tayari nombuso analia kuhusu mimba kutoka basi
Kama wewe unafuatilia deile labda huna kazi sio mbaya wengine tuna shughuli na ndo maana hatufuatilii kila siku..

Hatupo hapa kubishana kama unataka it's all good..
 
N

Xulu Hana uhakika ila Kuna kipindi wakitaka kufanya tambiko wakati wa kuwasha Moto ulikataa halafu baada ya kumgonga Ayanda walipoenda hospital alimtolea damu ikakubali bila tatizo ikampa maswali pia Yule mamlambo alishamweleza kuhusu utata wa mtoto wake
Hapana umeona sasa na wewe hapa tuseme hukuelewa?
Siku ile hospital yule nesi matron zwane alifunguka kila kitu kwa xulu baada ya xulu kumforce kisha nesi huyo akaacha kazi..

Huu mchezo ni ngumu kufuatilia kila episode..
 
Back
Top Bottom