Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Hata hapo pia sikuona pia
Nilikuta ile juzi tayari nombuso analia kuhusu mimba kutoka basi
Kama wewe unafuatilia deile labda huna kazi sio mbaya wengine tuna shughuli na ndo maana hatufuatilii kila siku..

Hatupo hapa kubishana kama unataka it's all good..
Kwa wiki naweza kuangalia Mara mbili Mara nyingi naangalia marudio jumamosi usiku
 
Wakuu nashukuru sana kwa kuelezea mliyoyaona maana mimi kila nikifika nyumbani nakuta imeshaisha aisee. Nina siku tatu sijafuatilia kabisa. Ila kupitia comments zenu nimejua inaendaje.
 
ndio naiskia kwake kwakweli.. labda sio ITV hii tunayo angalia, au labda tulirukishwa🤔sjui....
Ndio hapo sasa labda tulirukishwa mywangu 😀😀🙌🏾🙌🏾
 
kweli kabisa maaana aliona ad mda wa kupima dna hosp me skuona. ...kama inarukishwa siangaliii tenaa kwakwel
Na majibu ya DNA yanatoka kwa muda gni baada ya vipimo? Maana inaonekana kama majibu yalitoka yakionesha kuwa mimba ilikuwa ya Ayanda kutokana na huzuni alokuwa nayo wakati Nombuso alikwenda kwa Mxo na kumwambia kuwa mimba ya mtoto wao imetoka.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
kweli kabisa maaana aliona ad mda wa kupima dna hosp me skuona. ...kama inarukishwa siangaliii tenaa kwakwel
Ndio hivyo wengine tunakosa uhondo kumbe, wanatuonesha kidogo ITV matangazo yale na scene zengine wanakata hasa za kunyanduana, tunakosa mengi ndugu mama dhlomo 😀 usiache kutazama.
 
Ndio hivyo wengine tunakosa uhondo kumbe, wanatuonesha kidogo ITV matangazo yale na scene zengine wanakata hasa za kunyanduana, tunakosa mengi ndugu mama dhlomo 😀 usiache kutazama.
😄kwakweli wanakatisha tamaa bora niamie kwenye love to death ya saa nne😒
 
kweli kabisa maaana aliona ad mda wa kupima dna hosp me skuona. ...kama inarukishwa siangaliii tenaa kwakwel
Kuna sehemu nilisema wakionyesha kapimwa dna, walienda kwa Dr Ayanda alitaka mtoto wake afanyiwe partenity test sijui Kama ninepatia majibu na wakaelezwa wasubiri Hadi mtoto azaliwe baada ya hapo wakionyesha Mama ya Ayanda anawauliza kuhusu hospital Kama pia walipewa picha zozote baadae tunaonyeshwa mama Ayanda akimfariji Nombuso baadae Ayanda anaomba msamaha hivi inashindwa kuunganisha matukio kujua Nini kilitokea
 
Back
Top Bottom