Keitaro Yamaguchi
Member
- Aug 30, 2018
- 72
- 54
Nahisi Mk ndo alim-shoot, na target yake ilikuwa ni Mxo.Ndiyo shida ya vijana, hata umaarufu haujakolea yeye tayari amejiona superstaa.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi Mk ndo alim-shoot, na target yake ilikuwa ni Mxo.Ndiyo shida ya vijana, hata umaarufu haujakolea yeye tayari amejiona superstaa.
anha nilisoma hii mahali kumbe n kwelWamemuondoa mapema sababu alijiona super staa full mashauzi mbali ya kuact ni mwimbaji alikuwa amepata mikataba akaanza nyodo na dharau
Daah yan hata hapo tu tulipoona tunaona kbs nyodoWamemuondoa mapema sababu alijiona super staa full mashauzi mbali ya kuact ni mwimbaji alikuwa amepata mikataba akaanza nyodo na dharau
Ulimpenda tu[emoji2]imenoga Zulu karudi huku ana mapenzi yote kwa mwanae wa damu AyandaToka afe nambuso, naona kama uzalo imepoa haina mishemishe
Zulu amempenda ayanda mbona mm sijaona kukutana toka arudiUlimpenda tu[emoji2]imenoga Zulu karudi huku ana mapenzi yote kwa mwanae wa damu Ayanda
Mxo nae kama anajua vile kama sio baba ake,ujeuri umezidi
Hujaangalia vzr,anaongea nae kwa upendo kbs,na unaona kbs ana kitu ndani anataka kusema lkn nadhani muda badoZulu amempenda ayanda mbona mm sijaona kukutana toka arudi
ni kweli, walikuwa kanisaniHujaangalia vzr,anaongea nae kwa upendo kbs,na unaona kbs ana kitu ndani anataka kusema lkn nadhani muda bado
Mxo naye kawa nunda kwelikweli, inawezekana kuna kitu anajua. Maana sasa anamuita Xulu jina lake halisi et Ghabhashe, siyo la heshima kama mzazi wake. Na Ayanda naye anamuita Xulu Baba,ni kweli, walikuwa kanisani
Hisia mkuu[emoji2]Mxo naye kawa nunda kwelikweli, inawezekana kuna kitu anajua. Maana sasa anamuita Xulu jina lake halisi et Ghabhashe, siyo la heshima kama mzazi wake. Na Ayanda naye anamuita Xulu Baba,
Anaongea nae kwa huruma kama baba, na vile Ayanda anavyomjibu kwa heshima basi Xulu mdomo unatetemeka anatamani kusema kitu.Hujaangalia vzr,anaongea nae kwa upendo kbs,na unaona kbs ana kitu ndani anataka kusema lkn nadhani muda bado
Nyodo zilizidi.Daah yan hata hapo tu tulipoona tunaona kbs nyodo
Jee hao wa huko south
Utoto na uahamba
[emoji2][emoji2]sana tu yaan pale Xulu anamuhesabia tuniaje wakuu
mxo kwahiyo atafute pa kwenda ama?
maana xulu kamwambia mkewe ukweli anachekesha sana eti "i feel sorry for you" yupogo kama mbongo😀😀😀
Alimwambia jana mkuu, kama hukuona.Bado tu Nos kujua kuwa Ayanda ni kaka yake wa damu, hpo ndo patakapokuwa patam wakati alishagegedwa.[emoji2][emoji2]sana tu yaan pale Xulu anamuhesabia tu
Natamani pale Zulu atakapomwambia mkewe kuwa mtoto wao ni Ayanda,huku akijua binti yake sipho kamzimikia Ayanda
Basi hiyo sehemu nilipitwaAlimwambia jana mkuu, kama hukuona.Bado tu Nos kujua kuwa Ayanda ni kaka yake wa damu, hpo ndo patakapokuwa patam wakati alishagegedwa.
Bado mkewe hajaamini kuwa watoto wamebadilishwa na Ayanda ni mwana wao. Mangcobo na Xulu wamekwenda hospitali kumtafuta yule nesi aliyemueleza vile pamoja na rekodi zao lakini hakuna kilichopatikana.Basi hiyo sehemu nilipitwa
Ndio sio mtoto wakeBado mkewe hajaamini kuwa watoto wamebadilishwa na Ayanda ni mwana wao. Mangcobo na Xulu wamekwenda hospitali kumtafuta yule nesi aliyemueleza vile pamoja na rekodi zao lakini hakuna kilichopatikana.
Ila nina wasiwasi na yule Amandla kuwa siyo mtoto wa Xulu, ni wa kuzushiwa tu.