Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
-
- #821
ndio nipeHuna kaz eeh
nashukuru mungu kamuokoa ningekojolea wapi mimifeel so sorry for you dear Its Pancho amandla is gone😢
itakuwa safi sanaYaan nawaza mxo akijua ukweli sijui itakuwaje
Maana amekuwa mkaidi sana na majivuno
unabahati kweli
😅sasa je... tunaelewana mnoo😍😅mama ngcobo muhuni sana kama mumewe,
niliona jana mxo kafungua mkoba wa nombuso kakuta zile paper sijui itakuwaje ?
mshkji wangu mabuza sijamuona sijapenda. 🙂🙂
nadhani mxo anajichimbia kaburi baba yake kaamua kumuacha {japo baba feki]
Jagiya naona mumeo alimpa zweli makavu utakuwa umemfundisha 🙂🙂
na wewe crush wa xulu Vera ginger si bora ukate tamaa tuyajenge maana mama ngcobo kakaba mpaka penalti🙂
nilikuwepo
Malindi nimemchukia aiseeNimeiwahi Leo kwa manati
Zweli yuko kwenye wakati mgumu hawezi kuacha kazi ndo inamlisha japo bosi wake alizingua na ndo chanzo cha amandla Ku pass away.
Mimi hapa mangcobo ndio kasababisha au kuchangia yote haya.
Kwanza alikuwa hamtaki amandla nyumbani kuna wakati xulu aliamua amlete nyumbani mangcobo analidekeza limxo ili lilirithi Mali na anajua sio toto lake kalishikilia.
Mk tayari kaanza kuwachoma sasa, lazima samaki mmoja atue kwenye mikono ya dhlomo ..
Zweli ameonesha uanaume.
Nb;nosipho ukiniacha ntajinyonga
Nilikuwepo..
Yaan anakeraHili li mke la Xulu vipi?, Linajua kabisa kuwa Mxo si mwanaye, lakini linavyomkandia Ayanda utadhani halijui ukweli.
Mshenzi mnoooHili li mke la Xulu vipi?, Linajua kabisa kuwa Mxo si mwanaye, lakini linavyomkandia Ayanda utadhani halijui ukweli.
ANAKUJA KUWA NA KIKUNDI CHACKE CHA KIMFYA EPSODI ZA MBELE HUKOMshenzi mnooo
Nimemchukia na inaelekea baadae ataondoka huo mji lkn atarejea baada sana