Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Wale wote mliodai hii tamthilia mbaya kujeni hapa muombe radhi.
Tulipoanza mlidai sijui colour mbovu Mara sijui nn.
Tukawaambia twendeni easy mambo mazuri yako mbele nadhani sasa mnaona wenyewe na isidingo tumeisahau kabisa.

Mwanangu mabuza unaniwakilisha hapo kwamashuu police station.me niko hapa kwa sisi d napata bia ..
 
mama ngcobo muhuni sana kama mumewe,
niliona jana mxo kafungua mkoba wa nombuso kakuta zile paper sijui itakuwaje ?
mshkji wangu mabuza sijamuona sijapenda. 🙂🙂
nadhani mxo anajichimbia kaburi baba yake kaamua kumuacha {japo baba feki]

Jagiya naona mumeo alimpa zweli makavu utakuwa umemfundisha 🙂🙂
na wewe crush wa xulu Vera ginger si bora ukate tamaa tuyajenge maana mama ngcobo kakaba mpaka penalti🙂

nilikuwepo
😅sasa je... tunaelewana mnoo😍😅
 
Mrs Zulu na wanae
179892527_273592117822114_8698737572938945431_n.jpg
 
Nimeiwahi Leo kwa manati

Zweli yuko kwenye wakati mgumu hawezi kuacha kazi ndo inamlisha japo bosi wake alizingua na ndo chanzo cha amandla Ku pass away.

Mimi hapa mangcobo ndio kasababisha au kuchangia yote haya.
Kwanza alikuwa hamtaki amandla nyumbani kuna wakati xulu aliamua amlete nyumbani mangcobo analidekeza limxo ili lilirithi Mali na anajua sio toto lake kalishikilia.

Mk tayari kaanza kuwachoma sasa, lazima samaki mmoja atue kwenye mikono ya dhlomo ..
Zweli ameonesha uanaume.

Nb;nosipho ukiniacha ntajinyonga

Nilikuwepo..
 
Hili li mke la Xulu vipi?, Linajua kabisa kuwa Mxo si mwanaye, lakini linavyomkandia Ayanda utadhani halijui ukweli.
 
Malindi nimemchukia aisee
Anampotezea kbs Ayanda km sio mwanae
 
Hili li mke la Xulu vipi?, Linajua kabisa kuwa Mxo si mwanaye, lakini linavyomkandia Ayanda utadhani halijui ukweli.
Mshenzi mnooo
Nimemchukia na inaelekea baadae ataondoka huo mji lkn atarejea baada sana
 
Mabuza kamera zitamuumbua kwa kuingia ofisini kw dlomo na kuiba taatifa za upelelezi

Nosipo na anyanda wanaivana sana but mama yao hataki waendelee na ihusiano wao sababu anajua ni mtu na kaka yake

Mk amekuwa spy wa dlomo na kimpa michongo yote ambayo xulu anaifanya

At the end mabuza kaja kutoa taarifa kwa xulu kuwa mk ndio mchomeshaji wakat mabuza anaongea tu,Mk akatokea akajisalimisha

Xulu akamuambia mabuza amuhifadhi mk mpaka watakpo rudi kwenye mission yao ya wizi wa magari

Waliporudi wakamkuta mabuza hali tete hajiwezi na huku anavuja damu,

Alipoulizwa akasema mk ndio ame mzibua kiasi kile na ametiroka

Inaendekea Leo tar 16 Nov,2021
 
Back
Top Bottom